×
Image

MUHAMMAD, REHEMA NA AMANI ZA MWENYEZI MUNGU ZIWE JUU YAKE, NI MTUME WA UISLAMU - (Kiswahili)

Kitabu "Mtume wa Uislamuz Muhammad, rehema na amani ziwe juu yake" kinaweka wazi maisha ya Nabii Muhammad kuanzia kwenye nasaba yake na kuoa kwake kulikobarikiwa mpaka kuanza kuteremka kwa ufunuo na kuanza kwa utume wake ambao ndio wa mwisho, na kinabainisha alama za unabii wake na alama za ukweli wake,....