×
Image

NAMNA YA SWALA YA MTUME (REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE) - (Kiswahili)

Mheshimiwa, Sheikh, Abdulaziz bin Baaz - Mwenyezi Mungu amrehemu - ameeleza ndani ya kitabu cha "Namna ya Swala ya Mtume, rehema na amani ziwe juu yake", kwa ufupi namna ya swala ya Mtume, rehema na amani ziwe juu yake, kwa mbinu rahisi na njia nzuri kabisa, huku akitegemea ushahidi wa....