×
Image

FADHILA ZA SIKU KUMI (ZA MWANZO) ZA DHUL-HIJA - (Kiswahili)

Huu ni ujumbe mfupi, uliokusanya mambo muhimu anayoyahitaji Muislamu katika fadhila za siku kumi za mwanzo wa Dhul-Hija. Tumezikusanya kwa ajili ya mwenye kutembelea Misikiti Miwili Mitukufu, mwanaume na mwanamke; ili wawe na elimu na utambuzi na mambo ya dini yao, tukitaraji kutoka kwa Mkarimu, Mwingi wa kuneemesha awanufaishe kwa....