TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR’ANI TUKUFU
TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR’ANI TUKUFU - (Kiswahili)
Maana Ya Ayatu Alkursy Na Utukufu Wake - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia maana ya Ayayatul-kursy na utukufu wake.
Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (11) - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuulea moyo, na kwamba moyo ndio mashine inayo muendesha mtu, kisha ameelezea malezi katika Suratu Tahriim.
KUSOMA AYATUL-KURSY NI SABABU YA KUINGIA PEPONI - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia ubora wa Ayatul-kursy, na mwenye kuisoma ni sababu ya yeye kuingia peponi.
TAFSIR IBN KATHIR KWA LUGHA YA KISWAHILI - (Kiswahili)
Tafsiri hii ya Qur’an Takatifu ambayo ni maarufu kwa jina la Tafsiri ya Ibn Kathir iliandikwa na AI-Hafidh Abu AI-Fida ‘Imad Ad-Din Ismail bin Umar bin Kathir AI-Quraishi Al-Busrawi (Aliyekufa Mwaka 744 H) ni tafsiri maarufu sana kati ya Tafsiri za Qur’an katika lugha ya Kiarabu, na Waislam wengi wanaiona....
Al Muntakhab Fi Tafsir Al Qur’an - (Kiswahili)
Silsila ya mada za sauti za Tarjama ya Quran tukufu kwa lugha ya kiswahili inayo itwa "Al Muntakhab Fi Tafsir Al Qur’an" iliyo fanywa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani tafsiri hii inasifika kwa ufasaha wa lugha, masahafu huu umekusanya sauti ya msomaji wa Quraan, na sauti ya anaesoma tarjama ya....
Mada hizi zinaongelea maswali muhimu katika maisha ya muislam kwa njia ya maandishi.