Mada hii inazungumzia: Makundi ya Kishia na chimbuko la kila kundi,na namna walivyo tofautiana na viongozi wao.
Yajue Makundi Ya Kishia Na Chimbuko Lake - (Kiswahili)
Mada hii inafafanua: Uhalisia wa namna Mtume (S.a.w) alivyozikwa, inafafanua pia namna alivyozikwa Fatwima Binti Rasuli LLah (R.a), kinyume na wanavyopotosha Mashia.
Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w) - (Kiswahili)
1- Mada hii inazungumzia: Sheria aliyokuja nayo Mtume (s.a.w) na kwamba ndiyo iliyokuja kufuta sheria za nyuma, na kwamba nisheria inayo simamia haki zote, pia inazungumzia umuhimu wa kuamrisha mema na kukataza mabaya. 2- Mada hii inazungumzia: Faida na muhimu wa mahakama ya Qadhi na kwamba sheria ya kiislam inajulikana....
Sampuli Za Jihadi Katika Njia Ya Mwenyezi Mungu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia aina za jihadi,akasema shekh kuwa jihadi ina aina mbili :Jihadiya kujitetea, na Jihadi ya ilio tangazwa na Kiongozi.
Msimamo Wa Uislam Kuhusu Jihadi Katika Njia Ya Allah - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kuhusu kupigana Jihadi katika njia ya Allah, na upambanuzi wake, na tatizo la waislam wengi kuto fatilia mambo kwa kina, na madhara ya Hamasa.
Hijabu Ya Kisheria Na Nasaha Kwa Wanawae - (Kiswahili)
Anuwani ya mada hii ni: Hijabu ya kisheria na Nasaha kwa wanawake.shekh amezungumzia Sharti za Hijabu,na umuhimu wa kushikamana na dini kwa wakina mama.
Utata Katika Maswala Ya Jihadi Na Majibu Yake - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Daraja za jihadi, ni wakati gani jihadi inakuwa ni lazima, vievile inazungumzia maneno ya wanachuoni kuhusu jihadi.
Misingi Ya Da’awa Ya Kweli - (Kiswahili)
Anuwani ya mada hii ni Misingi ya da’awa ya kweli, pia inazungumzia: Umuhimu wa elimu na maoni ya watu katika kutengeneza umma wa kiislam.
Je mtu akitaka kuacha ushia anawajibika kutoa shahada ? - (Kiswahili)
Mada hii inafafanua: Namna ya kufanya kwa mtu anaetaka kuacha Ushia, pia inafanua mambo mbalimbali kuhusu mashia na itikadi mbovu walizonazo.
Mashia wamepata wapi kumtaja ally (r.a) katika adhana? - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Uzushi wa Shahada ya tatu katika Adhana ya Mashia, nakwamba hakuna hata riwaya dhaifu inayo thibitisha shahada hiyo.
Zama za Fitna - (Kiswahili)
1- Mada hii inazungumzia: Zama za fitna na kwamba nilazima watu wachukue tahadhari, pia imezungumzia umuhimu wa kutafuta elim yenye manhji ya kufuata sunna za Mtume (s.a.w). 2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislam madhubuti katika imani yake, pia imezungumzia hatari ya kufuata au kufanya jambo bila ya elim, nakwamba....
Kwanini Hatusherehekei Maulidi - (Kiswahili)
1. Mada hii inazungumzia: Kwa mujibu wa Uislamu pamoja na mahji ya Ahlu Sunna wal Jamaa, Kusherehekea Maulidi hayakuwepo na ni Uzushi. 2. Mada hii inazungumzia: Nini maana ya Bidaa ( Uzushi ) kilugha na kisheria, pia imeelezea hatari ya Uzushi. 3. Mada hii inazungumzia: Maulidi ni Bidaa dhwalaalah (Uzushi....

API
