×
Image

Umuhimu Wa Imani 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwafundisha watoto Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w) na maadili ya kiislamu, pia imezungumzia ubora wa kumuiga Mtume (s.a.w) katika matendo, na hatari ya kuiga tabia za kimagharibi.

Image

Umuhimu Wa Imani 11 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hatari ya kuzua jambo katika dini ya Mwenyezi Mungu na umuhimu wa kufuata Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w), pia imezungumzia uwajibu wa kutafuta elimu kwa kila Muislamu.

Image

Umuhimu Wa Imani 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maswali na majibu, na imefafanua uharamu wa kufanya biashara ya nguruwe na kutumia chumo linalopatikana katika biashara hiyo, pia imezungumzia hatari ya kula haramu na kwamba mwnye kula haramu hata dua yake haijibiwi.

Image

Umuhimu Wa Imani 13 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utofauti na mgawanyiko wa elimu katika jamii na kwamba kuna elimu ya lazima na elimu isiyo ya lazima, pia imezungumzia umuhimu wa elimu ya dini ambayo ndiyo elimu ya faradhi.

Image

Umuhimu Wa Imani 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuhamasisha watu katika kutafuta elimu, pia imezungumzia chuki za makafiri juu ya waislamu na tofauti kati ya dola ya kiislamu na dola isiyokuwa ya kiislamu.

Image

Umuhimu Wa Kuanzisha Mashule Na Vyuo Vya Kislam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuanzisha na kuendeleza mashule na vyuo vya kislam,na umuhimu wa elimu kaika uislam,na elimu nisababu ya kufanikiwa,na udhaifu wa umma wa kiislam katika upande wa elimu.

Image

Uongozi Katika Uislam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uongozi katika uislam,na umuhimu wa uongozi,na matatizo ya misikitini na tasisi za kislam,na dalili ambazo zimekuja kuzungumzia uongozi,mifano hai ya uongozi na umuhimu wake

Image

Mwandamo Wa Mwezi - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia mwezi mwandamo na uwajibu wa muislam pindi unapo onekana mwezi,na kuwatanabaisha waislam kuhusu ubainifu wa mwezi wa kitaifa na kimataifa,na umuhimu wa kufunga kama alivyo funga mtume (s.a.w)

Image

Hukumu Za Jeneza - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sherehe ya kitabu cha shekh albani,na muongozo kamili wa jeneza kuanzia ugonjwa na kufariki dunia,na kuoshwa na kuvikwa sanda,na kuswalia, na kuzikwa.

Image

Adabu Za Kuingiliana Mume Na Mke - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia adabu za siku ya kwanza ya kukutana mume na mke kwajili ya kushiriki tendo la ndoa.

Image

Haki Za Mume Na Mke - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia haki za mume na haki za mke katika maisha yandoa kwamtizamo wa sheria ya kiislam.

Image

Heshima Ya Waislam Katika Quraan - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia heshima ya waislam katika quraan na sababu za kudhofika umma wa kiislam na kuamsha nafsi za waislam na kutambuwa kua uisilam ndio dini ya haqi.