Mada hii inazunguzia namna dunia ilivyo uchanganya umma wa kiislam.
Tumeifanyia nini dini yetu ? - (Kiswahili)
Haki Za Binadamu Katika Uislam - (Kiswahili)
• Mada hii inazungumzia: Haki za binadamu katika uislam amezungumzia maana ya haki na umuhimu wa kujuwa haki za binadamu na ulazima wa kuzilinda, pia ametaja haki tano katika Quraan kwa ujumla. • Mda hii inazungumzia: maana ya binadamu na maana ya uislam, na ametaja mafundisho ya uislam kuhusu haki....
Misingi Bora Ya Malezi Ya Watoto Katika Uislam - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia misingi bora ya malezi ya mtoto katika uislam,tangu hajazaliwa mtoto,pia imezungumzia matatizo ya malezi na ufumbuzi wake.
Adabu Za Mazungumzo - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia adabu za kuzungumza katika uislam.
Adabu Za Msikiti - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia Adabu za kiislam na adabu za Msikiti na umuhimu wake.
Hukumu Ya Muziki - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia hukumu ya muzii na dalili zake na qauli za wanachuoni juu ya uharamu wa muziki.
Adabu Za Kusalimiana - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia adabu na umuhimu wa salam katika uislam
Adabu Za Mchezo Na Mzaha - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia adabu za mchezo na mzaha, na vipi Maswahaba walifanya michezo na mizaha.
Dhana Mbaya Ni Maradhi Ya Moyo - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia maradhi ya moyo, na katika maradhi makubwa ya moyo ni dhana mbaya.
Maisha Ya Swahaba Abuu Dharril Ghafary - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Abuu Dharril ghafary (R.a)
Maisha Ya Swahaba Bilali Bin Rabbah - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Bilali Bin Rabbah (R.a)
Maisha Ya Swahaba Musw-Ab Bun Umeyr - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Musw-ab Bun Umeyr (R.a)

API
