×
Image

Maisha Ya Swahaba Abdullahi Bun Mas’uud - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Abdullahi Bun Mas’uud (R.a)

Image

Udhaifu Na Ucha Mungu - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia namna ya kuutumia udhaifu katika kuupata ucha Mungu

Image

Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuandaa darsa kwa wanawake, kwasababu ndio wengi motoni, na ametaja sababu za kuwa wengi motoni, kasha amehusiya watu wahifadhi ndimi zao. 2- Mada hii inazungumzia sababu ya wanawake kuingia motoni kama kulani sana na kukataa wema wa mume wake, ametaja jinsi mwaname anavyo shawishika....