×
Image

Leaving the Prayer - (Kiswahili)

No Description

Image

Ubora Wa Elimu Ya Kisheria - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia ubora wa elimu ya kisheria na utukufu wa mwenye kujifunza elimu huyo.

Image

Family Planning - (Kiswahili)

No Description

Image

Pride - (Kiswahili)

No Description

Image

Duaa Katika Usiku Wa Laylatul-Qadr - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia tafsiri ya suratul qadri na kueleza ibada kubwa aliyokuwa akifanya mtume (s.a.w)na fadhila za kusimama kuitafuta laylatul qadri,na yanayo semwa katika usiku wa laylatul qadri.

Image

Watu Wa Motoni - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Baadhi ya hali za watu wa motoni.

Image

Watakao Ingia Peponi Na Motoni Bila Hesabu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia makundi ya watu wanne watakao ingia peponi bila hesabu, na makundi ya watu wanne watakao ingia Motoni bila hesabu.

Image

WASIA KWA MKE NO1 - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Wasia kwa mke, inazungumzia pia udhaifu wa wanawake.

Image

WASIA KWA MKE NO2 - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Wasia kwa mke, inazungumzia pia utaratibu wa kumuadabisha mke.

Image

BINTI ALIE PATA MALEZI BORA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia: Matunda ya malezi bora, pia imezungumzia kisa cha Sayyid Bin Museyyib alipokataa posa ya Abdul Maliki Bin Marwani kwa binti yake.

Image

MIONGONI MWA HAKI ZA MUME - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia: Haki za mume juu ya mkewe na kwamba mwanamke mwenye kumtii mumewe ataambiwa aingie Peponi kupitia mlango autakao katika milango nane.