×
Image

Qauli yenye faida 05 Maana ya Shahada ya kuwa Muhamad ni mjumbe wa Allah - (Kiswahili)

Mada hii Inakamilisha mada ilio pita pia amebainisha athari za wanao shahidilia kuwa Mtume Muhamad ni Mtume wa Allah.

Image

Qauli yenye faida 06 Maana ya Kumfuata Mtume Alayhi salam - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu Maana ya kumfuata Mtume rehma na amani za Allah ziwe juu yake, kisha ametaja hatuwa za kumfuata Mtume na Maswahaba zake, Kisha ametaja baadhi ya sunnah za Mtume kama swaumu ya Ashuraa.

Image

Qauli yenye faida 07 Allah yuko wapi? - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu alipo Allah Mtukufu, kabainisha kuwa yuko mbinguni na amestawi juu ya Arshi yake na hafanani na kiumbe yoyote katika kustawi kwake.

Image

Qauli yenye faida 08 Allah yuko wapi? - (Kiswahili)

Mada hii ina fuata mada iliyo pita katika kuelezea Ushahidi kuwa Allah yuko mbinguni.

Image

Qauli yenye faida 09 Daraja za Dini - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu Daraja za dini na maana yake kisha ameeleza maana ya Uislam.

Image

Qauli yenye faida 10 Dhambi isiyo sameheka kwa Allah - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu Shirki na kwamba ni dhambi ambayo haisameheki ikiwa mtu atakufa bila kutubia, kisha akabainisha malengo ya kuumbwa mwanadamu.

Image

Qauli yenye faida 11 Uislam ni kumtii Allah na Mtume wake - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuwa Uislam nikutekeleza na kufuata sheria ya Allah na yote aliyo kujanayo Mtume Rehma na amani za Allah ziwe juu yake, na hii ndio maana ya Uislam.

Image

Qauli yenye faida 12 Uislam ndio njia ya Peponi - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuwa Uislam ndio dini ya haki na kwamba hataingia peponi ispokuwa mwislam, kisha ikabainisha kuwa Uislam ndio njia ya kuingia peponi.

Image

Qauli yenye faida 13 Nguzo za Uislam - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo za Uislam na mpangilio wake kutokana na dalili zilizo pokelewa katika kubainisha nguzo hizo, kisha akabainisha ubora wa swala na cheo chake na hukumu ya alie kufa na alikuwa haswali.

Image

Qauli yenye faida 14 Malipo ya Mwenye kuswali Swala Tano - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu malipo makubwa ya mwenye kuswali, kisha amezungumzia madhambi ya mwenye kuacha swala, na ameelezea hukumu za Zaka na Swaumu kwa ufupi.

Image

Qauli yenye faida 15 Mwongozo katika kutekeleza Ibada ya Hijja - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo ya tano za Uislam, pia ameeleza muda na wakati wa kuhiji, na mwongozo katika kutekeleza ibada hiyo, pia amewatahadharisha mahujaji kuingia katika shirki wakati wa kutembelea mji mtukufu wa Madina.

Image

Qauli yenye faida 16 Maana ya Kumuamini Allah - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu maana ya Imani na mambo ambayo yanaingia katika Imani, na ameeleza kuwa Imani inazidi na kupungua.