Mada hii Inaelezea kwamba Uislam upo katika Maumbile ya mwanadamu na ndio asili alio umbiwa mwanadamu, kisha akataja dalili nyingi kuhusu hilo.
Qauli yenye faida 18 Matendo yanayo Muudhi Allah Mtukufu - (Kiswahili)
Mada hii Inaelezea Matendo ambayo yanamuudhi Allah kama kufanya shirki na kuabudu moto, na kuitakidi kuwa myoshi ya ubani uapeleka dua kwa Allah.
Qauli yenye faida 19 Kuamini Malaika - (Kiswahili)
Mada hii Inaelezea Maisha ya malaika na chanzo cha kufukuzwa Shetani pia ameeleza kwamba malaika wanaishi peponi na amehitimisha kuelezea kuamini vitabu vya Allah alivyo viteremsha kwa Manabii wake.
HAKI ZA MAJIRANI - (Kiswahili)
KHUTBA HII INAZUNGUMZIA HAKI ZA MAJIRANI NA HAKI ZA MAYATIMA NA UMUHIMU WA HATARI YA KUVUNJA UDUGU.
Sifa ya udhu sahihi - (Kiswahili)
Sifa ya udhu sahihi
Sifa ya swala sahihi - (Kiswahili)
Sifa ya swala sahihi
Hukumu za Kutayamamu - (Kiswahili)
Hukumu za Kutayamamu
Jinsi ya kufanya udhu juu ya soksi - (Kiswahili)
Jinsi ya kufanya udhu juu ya soksi
Njia za kuupokea mwezi wa ramadhan - (Kiswahili)
Mada hii imezungumzia jia alizokuwa anazitumia mtume s.a.w.katika kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Adabu Za Kuingiliana Mume Na Mke - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia mwelekeo wa mwanadamu na uwajibu wa kujitambua,na udhalili wa mwanadamu,na udanganyifu wa dunia.
Kafara Na Fidiya Kwa Mwenyekufungua - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia kafara kwa mwenyekumuingilia mkewake mchana wa mwezi wa ramadhani,na utaratibu wa kulipa fidia,na hukumu ya mwanamke mjamzitu katika mwezi wa ramadhani.na usiku wacheo.
Kuthibiti Katika Ibada Baada Ya Ramadhan - (Kiswahili)
Mada hii imezungumzia mbinu za iblisi katika kuwapoteza watu,na sababu zinazo msaidia mtu kuwa katika ibada baada ya ramadhan.

API

