Mada hii inazungumzia fitna za mpira wamiguu na masharti ya kuangalia mpira.
Fitna Za Mpira Wa Miguu Na Masharti Ya Kutizama Mpira - (Kiswahili)
Zifahamu Fadhila Hizi - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia thamani ya undugu katika uislam na umuhimu wa kuwaandaa vijana kwaajili ya badae pia mada inazungumzia umuhimu wa swala ya Alfajri katika maisha yetu.
Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia zawadi mbali mbali ambazo linazo kuja na mwezi wa ramadhani.
Sifa za wafungaji - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia sifa za wafungaji ambazo wanatakiwa wajipambe nazo.
Umuhimu Wa Afya Katika Maisha Yetu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia umuhimu wa afya katika maisha yetu na mambo yanayo haribu afya zetu nay ale yanayo imarisha afya zetu.
Unaufahamu usiku wa cheo ? - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia fadhila za usiku wa Laylatulqadri na jinsi ya kuutafuta usiku huo,na Dua inayo takiwa kusemwa pindi muislam atakapo uona usiku huo.
Mambo Ambayo Yasiyo Haribu Swaumu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia mambo ambayo yasiyo haribu swaumu pindi atakapo yafanya mfungaji.
Matendo Mazuri Katika Mwezi Wa Ramadhani - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia thamani ya matendo mema yanayo fanyika katika mwezi mtukufu wa ramadhani.
Mandalizi Ya Laylatulqadri - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia maandalizi ya kisimamo cha kuutafuta usiku wa cheo(Laylatulqadri).
Mambo Yanayo Haribu Swaumu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia mambo ambayo yanayo haribu swaumu pindi atakapo yafanya mwenye kufunga.
Hukumu Za Zakatul Fitwir - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia hukumu ya kutowa zakatul fitri na Yule ambae niwajibu kwake kutowa,hukumu yakutowa thamani yake,faida ya zakatul alfitwir,na aina ya chakula kinachotakiwa kutolewa,na kiwango chake.
Neema Ya Mtoto Nauwajibu Wa Kumlinda - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia neema ya mtoto na umuhimu wa kumlinda motto.

API
