Mada hii inazungumzia mambo ambayo unapoyafanya unatoka katika uislam nayo niushirikina.
Uhatari Wa Kumshirisha Mwenyezimungu - (Kiswahili)
Namna ya kutawadha - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna ya kutawadha, na umuhim wa kudum na udhu kwani hakika udhu ni silaha kwa Muumini.
Uislamu Aliokuja Nao Mtume Muhammad (S.A.W) - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Uislamu aliokuja nao Mtume wetu Muhammad (s.a.w) na namna alivyolingania watu katika uislamu na huruma kwa umma wake, na uislam haikuja kwa upanga.
Umuhimu Wa Tawheed - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia:Utukufu wa muislam kuwa na lailaha Illa Allah katika maisha yake, na mambo mengi alio yafanya Allah kwasababu ya neon hilo, na kuna habari njema kuwa mwenye kufa bila kufanya ushirikina ataingia peponi.
Kulingania Ktk Lailaha Illa Allah - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia ubora wa kulingania ktk njia ya mwenyezi mungu na malipo ya atakae kufa akiwa na lailaha illa allah.
Sababu Ya Kukufuru Wanadamu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia sababu ya kukufuru wanadamu na kuiacha dini ya mwenyezi mungu na kuingia katika ushirikina.
TAWASWUL YA SHERIA - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia binadam kumuomba na kutegemea Allah pindi anapofikwa na matatizo.
TAWASULU ISIYO YA KISHERIA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia tawasulu iliyokatazwa na madhara yake.
TOFAUTI YA WASHIRIKINA WA SASA NA WASHIRIKINA WA ZAMANI - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia utofauti wa washirikina wa zama zetu na washirikina zamani
FADHILA ZA MASWAHABA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia fadhila na visa vya Maswahaba wa Mtume Muhammad (S.a.w)
MAANA YA LAILAHA ILLA ALLAH - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia maana ya laailaha ila Allah fadhila zake na ukubwa wake.
KUCHUPA MIPAKA - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia kuchupa mipaka katika Dini.

API


