Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni maneno aliyosema kwamba hakitosimama kiyama ila watatokea watu waongo watakaodai Utume, pia imezungumzia vita aliyopigwa Musailama Al-kadhaab baada ya kudai Utume.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 42 - (Kiswahili)
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 43 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa watu waliodai utume baada ya kufa Mtume (s.a.w) ni mwanamke aitwae Sajjaha bintul-Harith, na wengineo.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 44 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa watu waliodai Utume ni Milza Ahmadi Alkaadiyan aliyedai kwamba anapata wahyi kutoka mbinguni, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) aliposema kwamba utakithiri ujinga katika zama hizi na elimu itashuka.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 45 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni mameno aliyosema kwamba kikikaribia kiyama zama zitakaribiana mwaka utakua kama mwezi, amali zitakua chache na ubakhili utakithiri, pia imezungumzia umuhimu wa kusoma dini.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 46 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni maneno aliyoacha amesema ya kwamba wataondoka (watakufa) Wanachuoni na ujinga utadhihiri, pia imezungumzia umuhimu wa elimu na hatari ya ujinga.
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 47 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Maneno mazito ya Mtume (s.a.w) aliyosema akiwa Arafa katika Hijja yake ya mwisho, alisema ichukueni elimu kabla haijaondoka, pia imezungumzia umuhimu wa kushikamana na Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w).
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 48 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni ule wa kulia machozi nguzo ya mtende wakati Mtume (s.a.w) alipokua akitoa khutba katika Msikiti wa Madina, pia imezungumzia kuwa Mtume (s.a.w) ndiye mwenye miujiza mingi kuliko mitume wote.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 150 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mambo yasiyotakiwa kufanywa siku ya Ijumaa, pia imezungumzia hukumu ya Ijumaa inapokutana na Iddi
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 155 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Swala ya Iddi mbili, taratibu zake na adabu zake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 157 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Yanayo paswa kwa muislam anapo kwenda kuswali idi, kwamba anatakiwa afanye takbira tangu anatoka kwake na akifika kwenye mswala, na hakuna swala ya suna kabla au baada, na hakuna adhana wala iqama.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 158 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Muda wa swala ya iddi, na kwamba inaswaliwa asubuhi, kisha amebainisha namna inavyo swaliwa Iddi.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 159 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Adabu za khutba ya Iddi, na taratibu zake kama alivyo fanya Mtume s.a.w.

API
