Mada hii inazungumzia: Tahiyatu ya mwisho pamoja na kumswalia Mtume (s.a.w), pia imeelezea mambo kumi na nne ambayo ni nguzo za swala kama ilivyo thibiti
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 068 - (Kiswahili)
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 084 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Daraja la watu wenye kuitikia wito wa Allah, pia imeelezea umuhimu wa kufuata sunna na hatari ya bid’a (uzushi)
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 06 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna na usahihi wa kutawadha, pia imefafanua jinsi ya kutia niya na kusema bismi Llahi wakati wa kutawadha.
Pepo na Moto 07 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Pepo ya A’dni Allah ameiumba kwa Mkono Wake, pia imezungumzia miongoni mwa neema za Peponi.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 148 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhumu na ubora wa kwenda mapema Msikitini siku ya Ijumaa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 22 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ulazima wa swala tano juu ya kila muislamu, pia imezungumzia mambo yasiyofaa katika swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 52 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislamu kujikinga kwa Mwenyezi Mungu kutoka na shari za Masihi dajjali, pia imeelzea alama ya Masihi dajjali.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 37 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Tofauti kati ya Adhana ya Bilali (r.a) na Adhana ya Abii Mahdhura (r.a), pia imezungumzia mpangilio wa Adhana.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 083 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislamu kujiepusha na sifa mbaya, pi a, imeelezea ubora wa kuwasaidia wenye shida na mafukara
Pepo na Moto 23 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Malipo ya wenye kutekeleza maamrisho ya Myenyezi Mungu na wakafuata Sunna za Mtume Muhammad (s.a.w).
Hukumu ya Maulidi Katika Uislamu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ijue siku aliyo zaliwa Mtume s.a.w na jambo alilokuwa akifanya katika siku hiyo, pia wajue walio anzisha Maulidi.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 140 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Swala ya mgonjwa na taratibu zake.