Mada hii inazungumzia: Namna ya kutawadha, na umuhim wa kudum na udhu kwani hakika udhu ni silaha kwa Muumini.
Namna ya kutawadha - (Kiswahili)
MAANA YA LAILAHA ILLA ALLAH - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia maana ya laailaha ila Allah fadhila zake na ukubwa wake.
Twahara(Kujisafisha) - (Kiswahili)
Darasa hili linazungumzia hukumu ya kujitwaharisha na umuhimu wake,na athari za kuto kujuwa jinsi ya kujitwahara.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 116 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea: Miongoni mwa sababu za mtu kuacha kwenda kuswali Swala ya jamaa ni khofu, maradhi na mvua nk. Pia imeelezea ubora na fadhila za Misikiti, wa kwanza ni Msikiti wa Makkah kisha Msikiti wa Madina.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 124 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea: Hukumu ya kuswali swala ya faradhi, pia imezungumzia hatari ya kuichelewesha swala katika wakati wake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 140 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Swala ya mgonjwa na taratibu zake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 132 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hali ya Imamu na Maamuma ndani ya Swala na utaratibu wake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 164 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kuchinja na sharti za mnyama anaefaa kuchinjwa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 148 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhumu na ubora wa kwenda mapema Msikitini siku ya Ijumaa.
Uzushi Katika Dini (Bidaa) - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia uzushi katika dini athari zake na hukumuzake.
Umuhimu Wa Swala Ya Jamaa - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa swala ya jamaa na ubora wa kwenda msikitini kabla ya Adhana.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 156 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mambo yanayotakiwa kufanywa siku ya Iddi, na mambo yasiyofaa.