×
Image

Hijja Ya Mtume Amani Iwe Juu Yake - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia hija ya mtume alayhi salaam na mambo ambayo yalio watokea wanawake ambao wako katika ibada ya hija kama kupatwa na hedhi kama ilivyo mtokea mke wa mtume mamaetu aisha.

Image

Sababu Za Kutofautiana Katika Dini - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sababu za kutofautiyana na tiba sahihi ya kutofautiyana pia imezungumzia athari mbaya za kutofautiyana.

Image

UMUHIMU WA MAHAKA YA KADHI WA KIISLAM - (Kiswahili)

MADA HII INAZUNGUMZIA UMUHIMU WA MAHAKAMA YA KADHI NA UMUHIMU WAKE.

Image

UNAZIJUA SIFA ZA KADHI - (Kiswahili)

MADA HII INAZUNGUMZIA SIFA ZAKADHI KATIKA UISLAM.

Image

Je! Katika Nafsi Zenu Hamzingatii - (Kiswahili)

Madaa hii inazungumzia: Umuhimu wa kuzingatia katika neema za Mwenyezi Mungu Mtukufu, na amebainisha neema ya viungo ikiwemo figo na alama za kuharibika kwake, na amebainisha kazi za figo mwilini, mwisho amezungumzia umuhimu wa kushukuru neema na kwamba mwanadamu ataulizwa.