Mada hii inazungumzia: Mambo yanayo muhusu Imamu, Sifa anazotakiwa kujipamba nazo na adabu zake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 134 - (Kiswahili)
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 135 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa mambo yanayo muhusu Imamu, adabu zake na utaratibu wa kuswalisha.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 136 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa mambo yanayo muhusu Imamu, adabu zake na utaratibu wa kuswalisha.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 137 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa mambo yanayo muhusu Imamu, adabu zake na utaratibu wa kuswalisha.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 138 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mambo yanayo muhusu Maamuma ndani Swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 139 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Makatazo ya kuswali baina ya nguzo za msikiti, pia imebainisha makatazo ya kumuamsha alie wahi kwenye swafu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 140 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Swala ya mgonjwa na taratibu zake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 141 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayo muhusu mgonjwa katika twahara na swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 142 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Muendelezo juu ya mambo yanayo muhusu mgonjwa katika twahara na mengineyo
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 143 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Aina za maradhi na namna ya kufanya ibada kwa wagonjwa wenye maradhi hayo.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 144 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna anavyo elekea mgonjwa qibla, na namna anavyo swali akikosa wa kumuelekeza qibla, na niwakati gani mgonjwa aaswali kwa moyo wake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 145 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Madhabu ya asie swali, na kwamba maradhi sio sababu ya kuacha swala ,na kwamba asie swali nikafiri, kisha amebainisha namna ya kuswali mgonjwa swala ikimpita.

API
