Mada hii inazungumzia thamani ya swala ya Alfajiri katika Jamaa katika mwezi wa ramadhani,na namna ambavyo zinavyo zidishwa thawabu za swala ya alfajiri.
Thamani ya swala ya Alfajiri katika mwezi wa Ramadhani - (Kiswahili)
Dhamana Ya Kuingia Peponi - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia mambo 6 ambayo muislam amepewa dhamana ya kuingia peponi mwenye kuyahifadhi.
Hukumu Ya Mtu Asie Swali - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Hukumu ya mtu asie swali kabainisha Qauli mbili za wanachuoni kuhusu mtu asie swali, na ametaja dalili nyingi za ukafiri wa asie swali, na amebainisha kuwa swala ninguzo ya dini, asie swali ameivunja dini. Mada hii inazunguzia Hukumu ya mtu asie swali, amebainisha hukumu ya mtu anae....
Umoja Wa Kweli - (Kiswahili)
1- Makala hii inazunguzia: Umoja wa kweli amezungumzia kuhusu umuhimu wa kujifunza dini na na faida za mshikamano pia amebainisha matunda ya umoja, na umoja ni suna ya mtume (s.a.w). 2- Makala hii inazunguzia: Umoja wa kweli amezungumzia maana ya umoja na umoja wakweli katika Quraan na suna, pia amezungumzia....
Mada hii inazungumzia maoni ya Maimamu wane juu ya madhehebu ya kishia na itikadi zao.
UMUHIMU WATAUHIDI1 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Maana ya Tawhiid na umuhimu wa Tawhiid na Tawhiid ndio msingi wa amani katika maisha ya duniani.
UMUHIMU WATAUHIDI 2 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Umuhimu wa Tawhiid katika Daawa na ndio jambo lakwanza linalo takiwa lianze katika daawa.
UMUHIMU WATAUHIDI 3 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Umuhimu wa Tawhiid na uzito wa sura zilizo shuka kuizungumzia Tawhiid.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH 1 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni Elimu inayo pingana na Ujinga.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH 2 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni Yaqini na Qabuli.
SHARTI ZA LAILAHAILA ALLAH 3 - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Sharti za Lailahaila Allah ambayo ni kuzingatiya au kunyenyekea na kuwa ikhlas na mapezi.
Hatari Ya Ushirikina 2 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ubaya wa ushirikina na haatari ya kumsingizia mwanamke uchafu wa zinaa na kwamba uislamu umelinda hadhi na heshima ya mwanamke, pia imezungumzia maana ya msemo: “Hakuna anae towa fatwa na Imamu maliki akiwa madina”.

API


