×
Image

NAMNA YA KUFANYA UMRAH - (Kiswahili)

Kijitabu "Namna ya kufanya Umrah" cha Sheikh, Abdulaziz bin Baaz, Mwenyezi Mungu amrehemu, kinaeleza ibada za Umrah kwa mtindo ulio wazi na unaoeleweka kwa urahisi; ili kitumike kama mwongozo wa kivitendo katika kusaidia Waislamu kutekeleza ibada zao za Hija au Umra kwa unyenyekevu na urahisi, kikiambatana na dua na nyiradi....

Image

Nani aliye umba Dunia? na ni nani aliye niumba mimi? na kwanini ameniumba? - (Kiswahili)

Kitabu "Nani aliyeumba Dunia? na ni nani aliyeniumba, na kwa ajili gani? kinajadili asili ya uwepo wa Dunia na Mwanadam, kwa kutilia mkazo kuwa Dunia haijaja kwa kuzuka na kwa kuja bila uwepo wa aliyeileta, isipokuwa inamuumbaji aliye mkubwa ambaye ni Allah, ambaye ameweka kanuni za ndani zaidi zinazoongoza maisha....

Image

MASOMO MUHIMU KWA UMMA WOTE - (Kiswahili)

Kitabu cha “Masomo Muhimu Kwa Umma Wote” cha Sheikh Abdulaziz bin Baaz - Mwenyezi Mungu amrehemu - ni risala fupi yenye manufaa makubwa. Aliiandika imamu huyu ili iwe akiba ya kielimu kwa umma wote wa Waislamu. Amezungumzia ndani yake misingi ya Dini na nguzo zake, kuanzia kumpwekesha Mwenyezi Mungu, Imani....

Image

Dondoo kuhusu Itikadi ya Kiislamu - (Kiswahili)

Kitabu hiki kinafafanua misingi ya imani inayojumuisha kumuamini Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Mwisho, na mipango ya Mwenyezi Mungu ya heri yake na ya shari yake; na kinaonyesha kanuni za msingi zilizo wajibu kwa Muislamu kuziamini na kuzifanyia kazi, kikisisitiza umuhimu....

Image

FADHILA ZA SIKU KUMI (ZA MWANZO) ZA DHUL-HIJA - (Kiswahili)

nullHuu ni ujumbe mfupi, uliokusanya mambo muhimu anayoyahitaji Muislamu katika fadhila za siku kumi za mwanzo wa Dhul-Hija. Tumezikusanya kwa ajili ya mwenye kutembelea Misikiti Miwili Mitukufu, mwanaume na mwanamke; ili wawe na elimu na utambuzi na mambo ya dini yao, tukitaraji kutoka kwa Mkarimu, Mwingi wa kuneemesha awanufaishe kwa....