MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU
MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU - (Kiswahili)
Tafsiri ya maana ya Qur'an Tukufu kwenye lugha ya Kiswahili
Mukhtasari Wa Mneno Katika Nguzo Za Uislam - (Kiswahili)
Kitabu hiki kinaelezea nguzo za uislam na mambo yote yanayo ambatana na nguzo hizo kwa ufupi
AQIDATUL-WASITWYYAH - (Kiswahili)
Kitabu hiki kinazunguzia mas’ala ya Aqidah (Tawhid)
SHERH YA MISINGI MITATU - (Kiswahili)
Kitabu hiki kinazunguzi misingi mitatu ya Tawhidi
UBORA WA UISLAMU - (Kiswahili)
Kitabu hiki kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, kinazungumzia: Maana ya uislamu, ubora wa uislamu na uwajibu wa kuingia katika uislamu.
Uislamu Dondoo fupi kuhusu uislamu kama ilivyokuja katika Qur'an tukufu na mafundisho ya Mtume rehema na Amani zimfikie - (Kiswahili)
Uislamu Dondoo fupi kuhusu uislamu kama ilivyokuja katika Qur'an tukufu na mafundisho ya Mtume rehema na Amani zimfikie
Muhtasari wa misingi minne - (Kiswahili)
Muhtasari wa misingi minne
Ujumbe mmoja - (Kiswahili)
Kitabu hiki kinazungumzia: Umuhimu wa tawhidi ya kweli na kwamba Mitume wote wa Allah walitumwa kuja kuwafundisha watu tawhidi ya kweli nayo ni kumuabudu Allah peke yake na kujiepusha na shirki.
Itikadi ya Maimamu wanne Mwenyezi Mungu awarehemu - (Kiswahili)
Hii ni Risala kwa ufupi ikibainisha mambo amabyo yanayo pasa kwa Mwanadamu kujifunza na kuyaamini, katika mambo ya Tawhidi na misingi ya dini na baadhi ya mambo ambayo yanayo ambatana nayo, ambayo yamechukuliwa kutoka katika vitabu vya itikadi za maimamu wanne: Imamu Abuu Hanifa na Imamu Maliki na Shafy na....
SUNA ZA MTUME (SAW) NA NYIRADI ZAKE ZA KILA SIKU - (Kiswahili)
SUNA ZA MTUME (SAW) NA NYIRADI ZAKE ZA KILA SIKU
KUCHAGUA KUTOKA KATIKA ENSAIKLOPIDIA YA HADITHI ZA MTUME - (Kiswahili)
KUCHAGUA KUTOKA KATIKA ENSAIKLOPIDIA YA HADITHI ZA MTUME

API
