Mada hii imezungumzia mbinu za iblisi katika kuwapoteza watu,na sababu zinazo msaidia mtu kuwa katika ibada baada ya ramadhan.
Kuthibiti Katika Ibada Baada Ya Ramadhan - (Kiswahili)
Heshima Ya Waislam Katika Quraan - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia heshima ya waislam katika quraan na sababu za kudhofika umma wa kiislam na kuamsha nafsi za waislam na kutambuwa kua uisilam ndio dini ya haqi.
Hijja Ya Mtume Amani Iwe Juu Yake - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia hija ya mtume alayhi salaam na mambo ambayo yalio watokea wanawake ambao wako katika ibada ya hija kama kupatwa na hedhi kama ilivyo mtokea mke wa mtume mamaetu aisha.
Misingi Bora Ya Malezi Ya Watoto Katika Uislam - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia misingi bora ya malezi ya mtoto katika uislam,tangu hajazaliwa mtoto,pia imezungumzia matatizo ya malezi na ufumbuzi wake.
Adabu Za Mazungumzo - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia adabu za kuzungumza katika uislam.
Hukumu Za Talaka Katika Uislam - (Kiswahili)
Darasa hili inazungumzia hukumu ya talaka katika uislam,na lengo la kuoana,na makosa ya wanandoa katika ndoa zao.
Utamu Wa Ndoa - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia utamu wa maisha ya ndoa,nimada muhimu sana imekusanya mambo mengi yanayo zisibu ndoa nyingi. pia imezungumzia jinsi ya kutengeneza furaha katika maisha ya ndoana sababu zinazo sababisha ndoa kuvunjika.
Matendo - (Kiswahili)
Mada hii imezungumzia matendo na madhara ya matendo mabaya na faida za kuwa na matendo mema.
Mwangaza Wa Quraan - (Kiswahili)
Mada hii imezungumzia mwangaza wa Quran na sababu ya kupata nguvu uislam na madhara ya kuto kujitambuwa na kisa cha vijana wa pangoni.
Zitambue Nyuso Nyeupe Na Nyuso Nyeusi - (Kiswahili)
Mada hii imezungumzia aina za watu siku ya Qiyama nyuso nyeupe na nyuso nyeusi na mafikiyo ya kila kundi.
Mvurugiko Wa Madili Katika Nyumba Za Waislam - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia mmomonyoko na mvurugiko wa maadili katika nyumba za waislam, na uwajibu wa kujifunza kwa mtume alayhi salam.
Umoja Katika Uisilamu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia umoja na mshikamano katika dini na faida zake.

API
