×
Image

Makosa Wanayo Fanya Wanawake Katika Minasaba Tofauti - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:Makosa makubwa wanayo fanya akina mama katika kupeyana mafunzo au misiba au sharia, pia ametaja sifa ya mwanamke ambae ni Dayuth, kisha amezungumzia Umuhimu wa kukumbushana katika Dini.

Image

Kufunga Katika Siku Ya Shaka - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:Hukumu ya kuutangulia mwezi mtukufu wa ramadhani, na maana ya shaka ilio katazwa kufunga ndani yake, pia kaeleza mwanzo wa kufunga na kufungua, pia kaelezea uwajibu wa kufunga kwa mwezi wa kutangaziwa na waislam.

Image

Jinsi Ya Kuyapata Mapenzi Ya Allah - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Jinsi ya kupata mapenzi ya Allah, shekh amezungumzia njia mbali mbali za kuyapata mapenzi ya Allah, ikiwemo kupewa hekima, na utulivu na amani na kukinai, pia amezungumzia mambo ukiyafanya utapendwa na Allah.

Image

Kufaulu Kukubwa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kufaulu kukubwa na maana yake, na aina za kufaulu, na kufaulu duniani na Akhera, na mambo yanayo ufanya uwe miongoni mwa walio faulu.

Image

Mambo Matatu Yamfuatayo Maiti - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: mambo matatu yanayo mfuata maiti baada yakufa ikiwemo watu wake na mali yake na matendo yake, vyote vitarudi ila matendo yake, hakika matendo mazuri ndio rafiki yako kaburini.

Image

Sampuli Za Kuhama Katika Uislam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna za kuhama katika uislam, kabainisha maana ya kuhama sifa za maswahaba wa Madina na wale walio hama kutoka Makkah kwenda madina,na sababu ya kuhama.

Image

Kughafilika Kwa Mwanadam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna mwadamu alivyojisahau katika duania, na kusahau kwamba ipo siku atatolewa roho yake, imezunguzia sifa za waja wema walio faulu duniani na akhera

Image

Vipi tuitafute lailatul qadr ? - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Namna ya kuitafuta lailatul Qadri, amezungumzia umuhimu wa kuitafuta lailatul Qadri na ubora wake, na ubora wa Ummat Muhammad, na malipo ya atakae pata usiku huo, na malipo ya mwenye kuitafuta lailatul Qadri. Mada hii inazunguzia Namna ya kuitafuta lailatul Qadri, amezungumzia ibada ambazo anatakiwa kuzifanya muislam....

Image

Nguzo Za Swaumu - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Nguzo za swaumu ikiwemo Nia ambayo mahala pake nimoyoni, pia kujuwa wakati wa kufunga tangu kutoka Alfajiri mpaka kuzama jua, na kujiziwiya na vitu vinavyo funguza .

Image

Suna Za Swaumu - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Suna za swaumu ikiwemo ubora wa kufungua mapema, na kufturu kwa tende au maji, na kuchelewesha daku.

Image

Zawadi Ya Kumi Lamwisho Katika Ramadhani - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia zawadi ya kumi la mwisho katika mwezi wa Ramadhani, amebainisha maana ya Suratul Qadri, na amebainisha aina ya mipangilio ya Allah kwa mwaka mzima, pia amezungumzia zawadi za ramadhani ikiwemo usiku wa cheo na ziyara ya malaika Jibril . Mada hii inazunguzia zawadi ya kumi la mwisho....

Image

Mambo Yanayo Batilisha Swala - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia mambo yanayo batilisha swaumu ikiwemo kuzungumza katika swala, na kucheka, na kula katika swala, pia amezungumzia mambo ambayo yanaweza uharibu swala. Mada hii inazunguzia mambo yanayo batilisha swala, ikiwemo kunywa katika swala na kuonekana uchi katika swala, amezungumzia mambo yanayo pelekea kuonekana uchi kwa wanaume na wanawake....