×
Image

Namna Ya Kuingia Kwa Mwezi Wa Ramadhan Na Kutoka Kwake - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia: Neema ya kufikishwa katika mwezi mtukufu wa ramadhani pia amezungumzia jinsi unavyo ingia mwezi wa ramadhani na kutoka kwake na hali zawatu katika swala la mwandamo wa mwezi na njia sahihi ktika kuthibitisha mwezi. Mada hii inazunguzia: Kuingia kwa Mwezi wa Ramadhan na kutoka kuna njia mbili,....

Image

Yapi Tuyafanye Katika Mwezi Wa Ramadhan Ili Tuwe Tumefunga - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo yanayoifanya swaumu iwe sahihi na yanayoifanya swaumu kuwa si sahihi, pia imezungumzia umuhimu wa kujiepusha na uongo, kusengenya, na dhulma na vikao vya kipuuzi ndani ya mwezi wa Ramadhani.

Image

Swaumu Ya Ramadhani Nisababu Ya Kumuogopa Allah - (Kiswahili)

Makala hii inazungumzia:Ubora wa mwezi mtukufu wa ramadhani, pia amezungumzia Ubora wa laylatul Qadri na kuteremshwa Quraan. Pia kahusia umuhimu wa kufanya towba Makala hii inazungumzia: makatazo ya kuutangulia mwezi wa Ramadhan ila mwenye nadhiri, pia amezungumzia uwajibu wa kufunga pindi mwezi unapo onekana, na sharti za kukubaliwa mwezi wa....

Image

Fanya Mambo Manne Uingie Peponi - (Kiswahili)

Makala hii inazunguzia:Mambo manne mwenye kuyafanya yote kwa ujumla atapata pepo, miongoni mwa mambo hayo ni kufunga na kutoa sadaka na kumtembelea mgonjwa…

Image

Sababu Za Ugomvi Katika Ndoa - (Kiswahili)

Makala hii inazunguzia: Sababu za ugomvi katika ndoa amezungumzia sababu ya magomvi nikukosekana elimu ya ndoa kabla ya kuoa, pia amezungumzia haki za mke kwa mume wake.

Image

Namna Ya Kusherehekea Iddi - (Kiswahili)

1- Makala hii inazunguzia:Maana ya Iddi na neema ya Idd ya kiislam na historia yake, faida za Iddi na umuhimu wa kumfuata mtume katika katika kufunga na nakufungua na kusherehekea Iddi. 2- Makala hii inazunguzia:Chanzo cha siku za Iddi, nakwamba Iddi ilikuja kufuta siku kuu za kijinga, ameleza kuwa siku....

Image

Kufikia Malengo - (Kiswahili)

1- Khutuba ya Iddi amezungumzia neema ya kuwa na uongofu nakufikishwa katika mwezi wa Ramadhan, na wepesi wa kumalizika umri, na kwamba Ramadhani nishule, na malengo ya swaumu niuchamungu, na kulifikia lengo hilo nikufanya mema baada ya Ramadhani. 2- Khutuba ya Iddi amezungumzia sababu za kufuata makundi yalio potea na....

Image

Majibu Kuhusu Arafa Na Iddi Al- Dhha - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia Siku ya Arafa, maana yake na umuhimu wa kuomba dua katika siku hiyo, na amejibu kuhusu utata juu ya siku ya arafa na siku ya Iddi al Adhha nawale wasiofunga siku ya arafa bali wanafunga siku ya kuchinja. 2- Mada hii inazungumzia Majibu ya utata wa....

Image

Siku Ya Arafa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia Siku ya Arafa, ubora wake, nakwamba Allah anashuka na kuwasogelea kwa waliosimama katika viwanja vya Arafa, na Allah anajifakhari kwa malaika, na yanayo takiwa kufanywa nawale ambao hawako katika viwanja vya Arafa.

Image

Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuandaa darsa kwa wanawake, kwasababu ndio wengi motoni, na ametaja sababu za kuwa wengi motoni, kasha amehusiya watu wahifadhi ndimi zao. 2- Mada hii inazungumzia sababu ya wanawake kuingia motoni kama kulani sana na kukataa wema wa mume wake, ametaja jinsi mwaname anavyo shawishika....

Image

Saa Ya Kujibiwa Dua - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia saa ya kujibiwa dua ambayo inapatikana siku ya ijumaa, amebainisha wakati huo, na pindi mtu anaposhtuka usingizini akiwa amelala na udhu, na baina ya Adhuhuri na Asri siku ya ijuma tano

Image

Kubadilika Kwa Neema Na Kuwa Adhabu - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Hatari ya kukufuru neema na namna Mwnyezi Mungu alivyo angamiza baadhi ya watu baada ya kukufuru neema za Allah, pia imezungumzia jinsi Mwenyezi Mungu alivyotimiza neema zake juu ya waja wake, neema zilizo wazi na neema zilizo fichika 2- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa neema kubwa....