×
Image

Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Maana ya Hijja kilugha na kisheria, na ni nguzo katika nguzo tano za uislam, pia imebainisha kwamba Hijja ni fardhi inatekelezwa mara moja katika umri. 2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa mwenye kuhiji kuwa na nia thabiti pamoja na kujikurubisha kwa Allah, pia imezungumzia mambo ya....

Image

Neema Za Nyumba Na Tabia Za Majumbani - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Neema za nyumba na faidazake, nakwamba nyumba niukamilifu wa neema za Allah kwa waja wake, pia imezungumzia baadhi ya faida za nyumba kama vile makazi, stara, kulala, ibada ya swala na ibada ya ndoa. 2- Mada hii inazungumzia: Nyumba ni sehem ya kumstiri mwanamke na kumlinda....

Image

Nafasi Ya Vijana Katika Uislam - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Nafasi ya vijana katika uislam, na neema ya ujana, na kila kijana ataulizwa siku ya qiyama, pia amezungumzia uwajibu wa vijana kuutumia ujana wao katika kufanya ibada, kama kusimamisha Swala, Funga na Hijja, ili kupata radhi za Allah. 2- Mada hii inazungumzia: Vijana ni hazina kubwa....

Image

Miezi Maalum Ya Hijja - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuitekeleza nguzo ya Hajj, wanaopaswa kuitekeleza na namna ya kuitekeleza, pia imezungumzia miezi maalum ya Hajj kama ilivyotajwa katika Qur’an tukufu ambayo ni Shawwal, Dhul-Qaada na Dhul-Hijja

Image

Sifa Za Ghurabaa Aliowataja Mtume (S.A.W) - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Sifa za Ghurabaa waliotajwa na Mtume (s.a.w), kwamba ni wale wanaotengeneza pindi watu wanapo haribu, pia imezunguzia Ghurabaa ni wale wanao shikamana na Manhaji ya Mtume (s.a.w). 2- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sifa za Ghurabaa ni kushikamana na Sunna na kuthibiti katika haki na kujiepusha....

Image

Adabu Za Siku Ya Iddi - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia adabu za siku ya Idd

Image

Sababu Za Kutofautiana Katika Dini - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sababu za kutofautiyana na tiba sahihi ya kutofautiyana pia imezungumzia athari mbaya za kutofautiyana.

Image

Madhambi Ya Kusengenya - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia madhambi ya kuwasengenya watu na aina ya kumsema mtu.

Image

Al Muntakhab Fi Tafsir Al Qur’an - (Kiswahili)

Silsila ya mada za sauti za Tarjama ya Quran tukufu kwa lugha ya kiswahili inayo itwa "Al Muntakhab Fi Tafsir Al Qur’an" iliyo fanywa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani tafsiri hii inasifika kwa ufasaha wa lugha, masahafu huu umekusanya sauti ya msomaji wa Quraan, na sauti ya anaesoma tarjama ya....

Image

Khutma ya Mkosi - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia khutba ya mkosi na sababu ya kuitwa hivyo pia amezungumzia vitisho vya siku ya Qiyama. 2. Mada hii inakamilisha mada iliyo pita imeelezea hali za watu wamotoni na vyakula vyao na nguo zao, pia mezungumzia maneno ya shetani atakayo zungumza motoni.

Image

Masiku Bora Duniani - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa Uchamungu, na maana ya khutbatu Alhaja, kisha akabainisha swala ya khusufu na Malengo ya khusufu. 2. Mada hii inazungumzia: Fursa ya kuyafikiwa na masiku bora duniani, kisha ametaja miezi mitukufu, na akaeleza ubora wa masiku hayo, na ubora wa siku ya Arafa. 3. Mada....

Image

Kuihesabu Nafsi - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia Umuhimu wa kuwa mchamungu na hasara za kukosa uchamungu kisha akaelezea kuwa Mwaka mpya nimwaka wa kuihesabu Nafsi. 2. Mada hii imezungumzia ufupi wa umri wa mwanadamu, nakwamba ameumbwa kutokana na masiku, kisha akabainisha kuwa katika kuihesabu nafsi nikujuwa mema aliyo yafanya, na kwamba kuikaguwa nafsi....