×
Image

Sababu za kupata mali - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sababu za kupata mali, miongoni mwa sababu hizo: Ni Uchamungu, na ukweli katika maneno na vitendo na katika niya yake, hiyo nisababu ya kutengamaa mambo yote.

Image

Janga la madawa ya kulevya - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia Maada ya pombe na hukumu ya kutumia na kuuza pombe, kisha amebainisha kuwa madawa ya kulevya ni katika yana hukumu ya pombe, na ameelezea madhara ya madawa ya kulevya kiafya kidini na kijamii na kwamba pombe ni mama wa Machafu.

Image

Janga la Umbeya - (Kiswahili)

1. Mada hii inaelezea: Maana ya kusengenya (Umbeya) na kwamba ni katika madhambi makubwa, kisha amebainisha sifa za watu wenye umbeya, na kwamba nimtu washari, na ataadhibiwa katika kaburi lake. 2. Mada hii inaelezea hatuwa za kufanya katika kutibu maradhi ya Umbeya, na katika hatuwa hizo ni kuthibitisha habari unazo....

Image

Nafasi ya nia katika Ibada - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea nafasi ya nia katika ibada, ameeleza maana ya nia na mahala pake katika ibada na jinsi ya uweka nia katika ibada.

Image

Tabiya za watu katika kutaja aibu za Wenzake - (Kiswahili)

Maana ya Aibu pila ameeleza kua Allah anazijua siri zetu, kisha ameeleza udhaifu wa mwanadamu na tabia za watu katika kusema aibu za wenzao, na tiba ya maradhi ya kutangaza aibu za watu.

Image

Mapokezi Ya Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo kusafisha moyo na machafu na kuwasamehe walio tukosea, pia miongoni mwa mapokezi ya Rmadhani ni kuisoma Fiqhi ya swaumu. 2- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo kujitwaharisha na shirki na kuwaidhika kutokana na....

Image

Nini wafanye waislam ikiwa kiongozi wao ni kafiri ? - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kauli za wanachuoni kuhusu watawala ambao ni makafiri, na hukumu ya Mwanamke kuolewa na mtu wa bid’a.

Image

Da’awa Ya Haqi Inapiga Vita Makundi Ya Kisiasa,Naubaguzi - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Da’awa ya haki inapiga vita makundi ya kisiasa, imeongelea pia aina za makundi na misingi ya da’awa ya kisnna.