Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuamini Qadari na kwamba kila kitu anapanga Allah, pia imezunguzia muislam anatakiwa kuishi na watu vizuri pamoja kutosheka na kichache anachopata.
Kuamini Qadari Ni Sababu Ya Kupata Sa’ada - (Kiswahili)
Uzushi Katika Dini (Bidaa) - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia uzushi katika dini athari zake na hukumuzake.
Vita Baina Ya Waumini Na Makafiri - (Kiswahili)
Mada hii imezungumzia vita baina ya waislam na makafiri,na jinsi alivyo pigana mtume rehma na amani ziwe juu yake na msimamo wa mtuma kwa viongozi wa kiquraish.
Bid’a ya Maulidi - (Kiswahili)
1. Mada hii inazungumzia: Namna watu wa Maulidi walivyo waelewa vibaya wana chuoni na kuwasingizia uongo. 2. Mada hii inazungumzia: Maulidi ni Bidaa kwasababu Mtume s.a.w hakufanya, kwahiyo kuacha kufanya Maulidi ni Sunna na kufanya ni Bidaa. 3. Mada hii inazungumzia: Tofauti kati ya Bidaa na Sunna, pia imefafanua maana....
Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia hukumu ya kuishi katika miji ya kikafiri na mwongozo kamili kuhusu mambo yanayo takiwa kuyafanya mwislam.
Kwanini Hatusherehekei Maulidi - (Kiswahili)
1. Mada hii inazungumzia: Kwa mujibu wa Uislamu pamoja na mahji ya Ahlu Sunna wal Jamaa, Kusherehekea Maulidi hayakuwepo na ni Uzushi. 2. Mada hii inazungumzia: Nini maana ya Bidaa ( Uzushi ) kilugha na kisheria, pia imeelezea hatari ya Uzushi. 3. Mada hii inazungumzia: Maulidi ni Bidaa dhwalaalah (Uzushi....
Elim Ya Sheria - (Kiswahili)
Mada hii nazungumzia ubora wa elim ya sheria ya Dini ya kiislam, na umuhim kusoma elim nyingine.
Majukumu Ya Kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuamrishana mema na kukataza mabaya na nisababu ya kufanywa ummat muhammad kuwa bora na nisifa ya mtume (s.a.w)pia nisifa ya manabi wa allah (alayhimu ssalam).
Mazazi Ya Mtume Amani Iwe Juu Yake - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia bidaa ya kusherehekea maulidi, madahii inazungumzia asili ya maulidi, maana yake, hukumu ya maulidi, historia ya maulidi, na mwanzo wa maulidi, africa mashariki.
Adabu Za Kuomba Dua - (Kiswahili)
1. Mada hii inazungumzia adabu za dua na masharti ya kujibiwa dua na jinsi alivyokuwa akiomba mtume -swala Allah alayhi wasalama- wakati wa kufungua swaumu na baada ya kufungua swaumu. 2. Mada hii inazungumzia adabu za dua yakiwemo mambo ambayo hutakiwi kumuomba Allah,na umuhimu wakumuombeya nduguyako moyoni. 3. Mada hii....
Ubora Wa Elimu Ya Kisheria - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia ubora wa elimu ya kisheria na utukufu wa mwenye kujifunza elimu huyo.
Twahara(Kujisafisha) - (Kiswahili)
Darasa hili linazungumzia hukumu ya kujitwaharisha na umuhimu wake,na athari za kuto kujuwa jinsi ya kujitwahara.