Mada hii inazunguzia namna dunia ilivyo uchanganya umma wa kiislam.
Tumeifanyia nini dini yetu ? - (Kiswahili)
Sampuli Za Jihadi Katika Njia Ya Mwenyezi Mungu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia aina za jihadi,akasema shekh kuwa jihadi ina aina mbili :Jihadiya kujitetea, na Jihadi ya ilio tangazwa na Kiongozi.
Msimamo Wa Uislam Kuhusu Jihadi Katika Njia Ya Allah - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kuhusu kupigana Jihadi katika njia ya Allah, na upambanuzi wake, na tatizo la waislam wengi kuto fatilia mambo kwa kina, na madhara ya Hamasa.
Hijabu Ya Kisheria Na Nasaha Kwa Wanawae - (Kiswahili)
Anuwani ya mada hii ni: Hijabu ya kisheria na Nasaha kwa wanawake.shekh amezungumzia Sharti za Hijabu,na umuhimu wa kushikamana na dini kwa wakina mama.
Utata Katika Maswala Ya Jihadi Na Majibu Yake - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Daraja za jihadi, ni wakati gani jihadi inakuwa ni lazima, vievile inazungumzia maneno ya wanachuoni kuhusu jihadi.
Misingi Ya Da’awa Ya Kweli - (Kiswahili)
Anuwani ya mada hii ni Misingi ya da’awa ya kweli, pia inazungumzia: Umuhimu wa elimu na maoni ya watu katika kutengeneza umma wa kiislam.
Matunda Ya Istighfari - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mambo mawili yanayomkinga mwanadam na adhabu za Allah, na imezungumzia pia masharti ya toba.
Umuhimu Wa Swala Ya Jamaa - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa swala ya jamaa na ubora wa kwenda msikitini kabla ya Adhana.
Nasaha Muhimu Kwa Mwenye Kutafuta Elimu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kufanya bidii katika kutafuta elimu, na kuutumia wakati katika kujisomea fani tofauti, na kuto tosheka na masomo ya darasani.
Je mtu akitaka kuacha ushia anawajibika kutoa shahada ? - (Kiswahili)
Mada hii inafafanua: Namna ya kufanya kwa mtu anaetaka kuacha Ushia, pia inafanua mambo mbalimbali kuhusu mashia na itikadi mbovu walizonazo.
Mashia wamepata wapi kumtaja ally (r.a) katika adhana? - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Uzushi wa Shahada ya tatu katika Adhana ya Mashia, nakwamba hakuna hata riwaya dhaifu inayo thibitisha shahada hiyo.
Ubora Wa Udhu (Kutawadha) - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia:Fadhila za kutawadha, ikiwemo kuwa na Nuru kwa mwenye kutawadha, pia miongoni mwa ubora wa Udhu nikufutiwa madhambi yake.na kwamba udhu ni silaha kwa Muumini.

API
