Mada hii inazungumzia chanzo cha bidaa na sababu zake,na madhara za kuzusha katika dini.
Mada hii inazunguzia Maana ya Bidaa na aina zake
UBORA WA KUAMRISHANA MEMA NA KUKATAZANA MAOVU. - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ubora wa kuamrishana mema na kukatazana maovu pia imezungumzia hatuwa za kukemea maovu katika uislam, pia amezungumzia sababu ya ummat Muhamad kuwa niuma bora.
Kwanini Muislamu haruhusiwi kusherehekea maulidi - (Kiswahili)
Makala hii inazungumzia: Sababu 22 ambazo zinamfanya Muislam asisherehekee Maulidi na uzushi wa aina yoyote katika dini ya Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia hatari ya kwenda kinyume na sheria ya kiislam.
Mawlid – Historia Yake, Hukmu Na Kauli Za Maulamaa - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia Historia ya Mazazi ya Mtume Rehma na amani za Allah ziwe ju yake, na hukumu ya kusherehekea na Qauli za Wanachuoni kuhusu maulidi.
TABIA NJEMA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia mwenye tabia njema hupandishwa daraja, na tabia njema ndio lilikua pambo la Mitume, Manabii na watu wema.
HUKUMU ZA TWAHARA - (Kiswahili)
Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kinazungumzia: Hukumu za twahara ikiwemo namna ya kutawadha, na kuoga, na kutayamam, na kupangusa kwenye khofu, na namna ya kujitwaharisha mginjwa, na namna ya kuswali mgonjwa.
Qur'ani Tukufu ni nini? - (Kiswahili)
Qur'ani Tukufu ni nini?
MAKALA HII INAZUNGUMZIA HISTORY YA KRISMAS CHANZO CHAKE NA ALIE IANZISHA NA HUKUMU YA KUSHEREHEKEA KRISMAS NAHUKUMU YA KUPONGEZANA NA KUPEANA ZAWADI.
HUSDA NA TIBA YAKE - (Kiswahili)
MADA HII INAZUNGUMZIA HUSDA NA TIBAYAKE KWA KTK MTIZAMO WA QURAAN NA SUNNAH.
MATENDO YANAYO TAKIWA KUFANYWA,NA YANAYO TAKIWA KUYAEPUKA KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAJAB - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia mambo yanayo yakiwa kufnywa katika mwezi mtukufu wa rajab na mambo ambayo inatakiwa kujiepusha nayo katika mwezi wa rajab.
Fadhila za mwezi wa Rajab na yaliyozuliwa ndani yake - (Kiswahili)
Mada hii inazungumziya ubora na fadhila za mwezi wa Rajab na mengi yaliyo zuliwa ndamiya ya mwezi huu yakafanywa kuwa ibada.

API
