No Description
Maelezo ya udhu - (Kiswahili)
Udhuu - (Kiswahili)
Udhuu
Kulingania Ktk Lailaha Illa Allah - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia ubora wa kulingania ktk njia ya mwenyezi mungu na malipo ya atakae kufa akiwa na lailaha illa allah.
Nini maana ya uchawi na majinni ? - (Kiswahili)
Nini maana ya uchawi na majinni, vipi jinni anaweza kumuingia mtu, na dawa gani tutumie,na aya gani katika quran zinamchoma jinni ao shetani.
Sababu Ya Kukufuru Wanadamu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia sababu ya kukufuru wanadamu na kuiacha dini ya mwenyezi mungu na kuingia katika ushirikina.
MADHAMBI 7 YENYE KUANGAMIZA - (Kiswahili)
MADA HII INAZUNGUMZIA MADHAMBI SABA YENYE KUANGAMIZA NA UFAFANUZI WAKE.
Wanao Abudu Makaburi - (Kiswahili)
Khutba hii inazungumzia hali ya wanao abudu makaburi na hukumu ya kuabudu makaburi.
Udhu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia namna ya kutawadha, dua baada ya udhu, yanayotengua udhu, adabu za udhu na ibada zinazofanywa na mtu mwenye udhu.
MJA KUTO KUMJUWA MOLA WAKE NA ATHARI ZAKE - (Kiswahili)
Mada yakuona kwalugha ya Kiswahili inazungumzia madhara ya mwanadamu kuto kumjuwa mola wake.
TAWASWUL YA SHERIA - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia binadam kumuomba na kutegemea Allah pindi anapofikwa na matatizo.
TAWASULU ISIYO YA KISHERIA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia tawasulu iliyokatazwa na madhara yake.
TOFAUTI YA WASHIRIKINA WA SASA NA WASHIRIKINA WA ZAMANI - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia utofauti wa washirikina wa zama zetu na washirikina zamani

API
