×
Image

NINI UNAHITAJI ULIMWENGU WA KIISLAM NO 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Mambo ambayo ulimwengu wa kiislam unayahitaji ili kupata maendeleo.

Image

NINI UNAHITAJI ULIMWENGU WA KIISLAM NO 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia kuwa Ulimwengu wa kiislam unahitaji Elimu na Busara ili kupata maendeleo.

Image

UZITO WA WAZAZI WAWILI - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Uzito wa wazazi wawili na malipo ya kuwafanyia wema.

Image

TWAHARA NA AINA ZAKE 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: inazungumzia maana ya twahara ya nafsi na twahara ya viungo.

Image

TWAHARA NA AINA ZAKE 02 - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Twahara na aina zake, pia imezungumzia sifa za udhu na jinsi ya kutawadha.

Image

TWAHARA NA AINA ZAKE 03 - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Twahara na aina zake, imezungumzia pia jinsi ya kutayamamu.

Image

MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 01 - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Muhammad ni mjumbe wa Allah, na kwamba ummat Muhammad ndio utakuwa wa kwanza kuingia peponi, pia imezungumzia mambo 3 wasio na imani hawayapendi.

Image

MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 02 - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Muhammad ni mjumbe wa Allah, imezungumzia pia baadhi miujiza ya Mtume s.a.w

Image

MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kumpenda Mtume rehma na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, na kisa cha Baitul Maamur.

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maana ya ukarimu na kwamba ukarimu wa Allah unadhihirika pale mwanadamu atakapojiangali namna alivyoumbwa, pia imezungumzia vitu bora alivyo wapa Allah waja wake kwa ukarimu wake.

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa ukarimu wa Allah juu ya wake ni kwamba amempa mwanadamu akili na akamfanya kuwa kiumbe bora kuliko, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya toba ya kweli katika masiku ya Hijja

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa ukarimu wa Allah ni kwamba Allah anawakusanya mahujjaji wote katika viwanja vya Arafa wakiwa katika vazi la aina moja, pia imezungumzia kuwa pepo ndiyo malipo ya mtu mwenye kufanya Hijja ya kweli.