×
Image

UBORA WA KUFUNGA MWEZI WA SHAABANI - (Kiswahili)

MADA HII INAZUNGUMZIA UBORA WA KUFUNGA SWAUMU ZA SUNNAH NA MWEZI WA SHAABANI.

Image

USIKU WA LAYLATUL QADRI - (Kiswahili)

KHUTBA HII YA KISWAHILI INAZUNGUMZIA USIKU WA LAYLATUL QADRI NA UBORA WA USIKU HUO NA WAGENI WANAO ITEMBELEA DUNIA KATIKA USIKU HUO.

Image

UKARIMU WA ALLAH SIKU YA IDDI - (Kiswahili)

KHUTBA HII YA EDDI INAZUNGUMZIA UKARIMU WA ALLAH KWA WAJAWAKE SIKU YA IDDI NA UNYONGE WA SHETANI KATIKA SIKU YA IDDI,NA UWAJIBU WA MWISLAM KUENDELEZA IBAADA BAADA YA RAMADHANI.

Image

Haki Za Maiti - 1 - (Kiswahili)

Haki Za Maiti - 1: Mada hii inazungumzia haki za maiti kwa vitendo.

Image

Haki Za Maiti - 2 - (Kiswahili)

Haki Za Maiti - 2: Mada hii inazungumzia haki za maiti kwa vitendo.

Image

Maeneo Yenye Historia Makka Na Madina - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia khasara tatu za muislam,na utukufu wa makkah na madina na maeneo yenye historiya katika mji mituku wa maka na madina na mazingatio katika sehemu hizo.

Image

Thamani Ya Undugu - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia thamani ya undugu katika uislam na ubora wakuwa ndugu.

Image

Uadilifu Katika Dini - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia uadilifu katika dini na fadhila za kufanya uadilifu.

Image

Uchungu Wa Madhambi - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia uchungu wa wenye kutubia na hali za wenye kutbia.

Image

Wanachuoni Wetu Wa Africa Mashariki - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia historia ya wanachuoni wa africa mashariki ambao walio toa mchango mkubwa katika uiendeleza dini ya allah.

Image

MAMA NANI KAMA MAMA! - (Kiswahili)

MADA HII INAZUNGUMZIA FADHILA ZA MAMA NA HAKI ZA WAZAZI KWA UJUMLA NA MAMBO AMBAYO AKIYAFANYA MTOTO ANAKUWA AMEWATENGA WAZAZI WAKE.

Image

NDOA YENYE BARAKA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia ndowa yenye Baraka katika uislam,na kheri zinazo letwa na ndowa yenye baraka.