Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Kuacha sala ya ijumaa kwa dharau -69 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Acha Athari Njema 01 - (Kiswahili)
Mada hii Inaelezea kuhusu kuangalia njia nzuri ya athari kuacha Athari nzuri kama alivyo iacha Mtume s.a.w. na Maswahaba zake r.a.
Nguzo Tatu Nguzo ya tano ni safari ya Nyumba ya Allah kwa kila mtu aliyeweza kufanya hiv - (Kiswahili)
Nguzo Tatu Nguzo ya tano ni safari ya Nyumba ya Allah kwa kila mtu aliyeweza kufanya hiv
Nguzo ya tatu ni Zakat - (Kiswahili)
Nguzo ya tatu ni Zakat
Mali tatu ya kuchinjwa Nguzo tatu za nguzo ya nne ya kufunga Ramadani
Nguzo tatu ni nguzo ya kwanza ya ushuhuda wawili - (Kiswahili)
Nguzo tatu ni nguzo ya kwanza ya ushuhuda wawili
Sifa za Swala - (Kiswahili)
Mafunzo mafupi kwa vitendo ya namna ya kutekeleza swala, ili tumuabudu Mwenyezi Mungu kwa ujuzi na swala yetu iwe imetimia nguzo na masharti.
Jinsi Ya Kumuadhimisha Mtume - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia namna ya kumtukuza mtume s.a.w.na kumuheshimu mtume na taratibu za kumtakia rehma.
Uchawi - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia uchawi, hukumu yake na madhara yake na uchafu wa mchawi na adhabu zake.
Miongoni Mwa Sifa Za Watu Wema - (Kiswahili)
Mada hi inazungumzia sifa za watu wema na uwaijibu wa waislam kuwafuata watu wema.
Ruqya Ya Kisheriya - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia ruqya ya kisheria na jinsi ya kutowa majini, na vipi jinni anaweza kumuingia mtu na dawa gani tutumie,na aya gani katika quran zinamchoma jinni ao shetani.

API
