Mada hii inazungumzia: Mtihani wakati wa kukata roho, pia imezungumzia umuhimu wa kuomba mwisho mwema, na kujikinga kwa Allah na adhabu za kaburi.
Safari Ya Mwisho 16 - (Kiswahili)
Adabu Za Safari Katika Uislamu 1 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Adabu za safari katika uislamu, pia imezungumzia umuhimu wa kuheshimu vipando na kuwahurumia wanyama tunaowatumia katika kubeba mizigo.
Adabu Za Safari Katika Uislamu 2 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyokua akianza safari na dua aliyokuwa akisoma wakati akitoka nyumbani.
Adabu Za Safari Katika Uislamu 3 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya muislamu kusafiri siku ya Ijumaa na amebainisha qauli sahihi katika kujuzu kusafiri siku ya Ijumaa.
Adabu Za Safari Katika Uislamu 4 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Utukufu wa swala ya Ijumaa, pia imeelezea kuwa ni lazima kwa mwenye kuwajibikiwa na Ijumaa kuhudhuria na kuswali swala ya Ijumaa.
Adabu Za Safari Katika Uislamu 5 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyosafiri, pia imeelezea msaada aliokua akitoa Mtume (s.a.w) katika safari zake.
Adabu Za Safari Katika Uislamu 6 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ubora na malipo ya kutoa kwa ajili ya Allah, pia imeelezea malipo ya kuwasaidia wasafiri katika safari.
Ubora wa kumtaja Allah -01 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Kumtaja Allah katika kutekeleza ibada -02 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Kumtaja Allah kuna rahisisha kila gumu -03 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Kumtaja Allah kunamfukuza shetani -04 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Kumtaja Allah niuhai wa nyoyo -05 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.

API