Mada hii inazungumzia: Kujitibu kwa maziwa na mkojo wa ngamia, na hii ni dalili kuwa ute, mate na mkojo wa mnyama anayeliwa siyo najsi.
Maziwa Na Mkojo Wa Ngamia - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ufafanuzi kamili juu ya utwahara wa ngozi ya mnyama aliyekufa, pia imezungumzia umuhimu wa jambo hilo kwa zama hizi tulizo nazo.
Kuosha Au Kukwangua Manii - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Maana ya kukwangua manii, pia imeelezea mwenye kutokwa na manii atatakiwa kuoga janaba, ama yaliyodondokea katika nguo inafaa kuonsha na maji au kukwangua.
Pombe Ni Haramu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Kunywa pombe ni haramu kwa dalili zote, pia imeelezea baadhi ya dalili za unajsi wa pombe.
Hukumu Ya Mkojo Wa Mtoto Wa Kiume Na Wa Kike - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Tofauti katika kutwaharisha mkojo wa mtoto wa kiume na mtoto wa kike ambao hawajaanza kula chakula isipokua maziwa ya mama.
Hukumu ya Matumizi Ya Vyombo Vya Wasiokuwa Waislamu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Uhalali wa kutumia vyombo vya wasiokuwa waislamu baada ya kuvisafisha, pia imefafanua juu ya hukumu ya kuwinda kwa kutumia mbwa.
Hukumu Ya Manii Ya Mwanadamu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Utwahara wa manii ya mwanadamu, pia imezugumzia namna Aisha (r.a) alivyokuwa akikwangua manii katika nguo ya Mtume (s.a.w).
Hukumu Ya Kuunga Chombo Kwa Dhahabu Au Fedha - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Uhalali wa kuunga chombo kwa kipande cha fedha kama alivyofanya Mtume (s.a.w).
Mada hii inazungumzia: Maana ya sahihi ya neno mzoga, pia imefafanua uhalali wa matumizi ya ngozi ya mnyama aliyekufa baada ya kuitwahirisha.
Maana Ya Pombe - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Maana ya neno pombe, pia imefafanua tofauti kati ya pombe na siki.
Kuondoa Damu Ya Hedhi Ikiingia Katika Nguo - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna ya kuiondoa damu ya hedhi iliyodondokea katika nguo, pia imezungumzia jinsi Mtume (s.a.w) alivyokuwa akiulizwa na wanawake maswali ya dimni.
Kipande cha fedha katika Chombo Cha Mtume (s.a.w) - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyounga chombo chake kwa kipande cha fedha, pia imefafanua kiwango na ukubwa wa kuunga chombo.

API
