KHUTBA HII YA EDDI ALFITRI INAZUNGUMZIA KUHUSU UMUHIMU WA IKHLASI KATIKA IBADA NA UWAJIBU WA MWISLAM KUENDELEZA IBAADA BAADA YA RAMADHANI.
KHUTBA YA EDDI KUHUSU IKHLASI - (Kiswahili)
OGOPENI DUNIA NA WAOGOPENI WANAWAKE - (Kiswahili)
Mada hii imezungumzia uhatari wa kuipenda dunia na wanawake.
Hijabu Ya Mwanamke - (Kiswahili)
Khutba hii inazungumzia hijabu ya mwanamke sifa zake na hukumu yake.
Hukumu za swala - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia hukumu za swala,na hukumu za kusoma Alfatha,na jinsi ya kusoma katika swala,na viungo vinavyo sujudu na jinsi ya kusoma tahiyatu.na nafasi ya utulivu katika swala.
KUSOMA AYATUL-KURSY NI SABABU YA KUINGIA PEPONI - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia ubora wa Ayatul-kursy, na mwenye kuisoma ni sababu ya yeye kuingia peponi.
ALAMA ZA WANAFIKI - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Akama za wanafiki na mafikiyo ya wanafiki.
JE KUGUSANA MUME NA MKE KUNATENGUWA UDHU? - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Fatwa kuhusu kutenguka kwa udhu wanapo gusana mwanamke na mwana mume.
Jinsi ya Kuswali Istikhara? - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Fatwa kuhusu jinsi ya kuswali Istikhara.
HUKUMU YA KUSHEREHEKEA UZAO WA MTUME (S.A.W) - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia hukumu ya kusherehekea uzao wa Mtume (S.A.W).
JE,SWALA ZETU ZINA ATHARI KATIKA NAFSI ZETU? - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Athari ya swala zetu katika nafsi zetu.
UNYENYEKEVU KATIKA SWALA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia swala yenye unyenyekevu na faida za unyenyekevu katika swala.
HUKUMU YA MWANAUME KUSWALI JAMAA NYUMBANI NA FAMILIA - (Kiswahili)
Mada hii ni fatwa inayo zunguzia Hukumu ya mwanaume kuswali jamaa nyumbani na familia yake.

API
