Mada hii inazungumzia: Kauli za wanachuoni kuhusu pombe kuwa najsi na kutokuwa najsi, pia imezungumzia uharamu wa pombe na namna ilivyo haramishwa.
Kauli Za Wanachuoni Kuhusu najsi ya Pombe - (Kiswahili)
Kauli Za Wanachuoni Kuhusu Manii Ya Mwanadamu - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Kauli za wanachuoni kuhusu manii ya mwanadamu, pia ametowa qauli yenye nguvu kuwa manii sio najisi .
Hukumu ya Kugeuza pombe kuwa siki - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Uharamu wa kuibadilisha pombe kuwa siki, pia imezungumzia uhatari na ubaya wa pombe.
Faida Za Hadithi ya kutwaarisha Najsi kwa Maji - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Faida mbalimbali zinazopatikana katika hadithi inayozungumzia kuondoa najsi ikiwemo umuhimu wa kujiepusha na najsi.
Hikma Katika Makatazo Ya Kula Nyama Ya Punda - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa faida muhimu zinazopatikana katika hadithi inayokataza kuliwa kwa nyama za punda wa kufugwa, na kwamba nyama ya punda ninajsi.
Fadhila Na Ubora Wa Kupiga Mswaki - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ubora na fadhila za kupiga mswaki, pia imefafanua kuwa siyo karaha kupiga mswaki mchana wa mwezi wa Ramadhan.
Adhabu Ya Mwenye kutumia Vyombo Vya Dhahabu Na Fedha - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Adhabu ya mtu mwenye kutumia vyombo vya dhahabu na fedha, pia imefafanua aina ya adhabu, na miongoni mwa faida zinazopatikana katika hadithi.
Vinavyo Ondoa Najsi - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ulazima wa kutumia maji katika kuondoa najsi, pia imezungumzia historia fupi Asmaa bint Abubakar (r.a).
Fadhila za Quraan tukufu -01 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea fadhila mbalimbali za quraani tukufu kwa njia ya maandishi -01
Fadhila za Quraan tukufu -02 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea fadhila mbalimbali za quraani tukufu kwa njia ya maandishi -02
Fadhila za Quraan tukufu -03 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea fadhila mbalimbali za quraani tukufu kwa njia ya maandishi -03
Fadhila za Quraan tukufu -04 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea fadhila mbalimbali za quraani tukufu kwa njia ya maandishi -04

API
