Mada hii inaelezea vitisho vya Maquresh kwa Abuu Twalib kwajili ya mtume Muhammad (s.a.w).
Araheeq Al-Makhtum 19 - (Kiswahili)
Araheeq Al-Makhtum 20 - (Kiswahili)
Mada hii inamuelezea Abuu Twalib alipo mnusuru Mtume Muhammad (s.a.w) na kumpa msimamo.
Araheeq Al-Makhtum 21 - (Kiswahili)
Mada hii inawaelezea Maquresh kwa Abuu Twalib na namna walivyomfitini ili aache kunusuru Mtume Muhammad (s.a.w).
Araheeq Al-Makhtum 22 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea ya kwamba uislam ni dini ya Allah na siyo dini ya mtu au kabila.
Araheeq Al-Makhtum 23 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea chuki za Abuu Lahab kwa Mtume Muhammad (s.a.w).
Araheeq Al-Makhtum 24 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea namna mke wa Abuu Lahab kumchukia Mtume Muhammad (s.a.w).
Araheeq Al-Makhtum 25 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea namna Abuu Jahl alivyokuwa akimchukia Mtume Muhammad (s.a.w) na maudhi aliyokuwa akimfanyia.
Araheeq Al-Makhtum 26 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea faida zinazopatikana kwenye kisa cha Swahaba Suhaib Alrumi na namna alivyokuwa na subra kwajili ya Allah.
Araheeq Al-Makhtum 27 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea umuhim wa kulingania kwajili ya Allah kwa wepesi na ulaini.
Araheeq Al-Makhtum 28 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea athari na adhabu ya anaeacha kuswali.
Araheeq Al-Makhtum 29 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea kuwa uovu huondolewa kwa kufanya wema.
Araheeq Al-Makhtum 30 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea hijra ya kwanza ya waislamu kuelekea habasha (Ethiopia) na faida zinazo patikana katika kisa hicho.

API
