Mada hii inazungumzia: Swala ndilo jambo la kwanza kuhesabiwa siku ya Qiyama, pia imeelezea umuhimu na ubora wa swala za sunna.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 59 - (Kiswahili)
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 58 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mtume (s.a.w) alikuwa akileta tasbihi baada ya swala kwa mkono wake wa kulia, pia imeelezea Dua aliyokuwa akiomba Mtume (s.a.w).
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 57 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa nyiradi zilizothibiti kwa Mtume (s.a.w) pia imezungumzia hatari ya kwenda kinyume na sunna za Mtume (s.a.w).
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 56 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Adhkari za baada ya swala zilizothibiti kwa Mtume (s.a.w), pia imeelezea adhkari baada ya swala ya Alfajiri na Maghribi.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 55 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna ya kutoa salam kama alivyofanya Mtume (s.a.w), pia imezungumzia maneno yanayosemwa baada ya salam.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 54 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Uwajibu wa kuswali kama alivyoswali Mtume s.a.w, pia imeelezea ulazima wa kusoma na kuijua swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 53 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Wasia aliopewa Muadh (r.a) na Mtume (s.a.w), pia imeelezea umuhimu wa kushukuru neema na kufanya adhkari baada ya swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 52 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislamu kujikinga kwa Mwenyezi Mungu kutoka na shari za Masihi dajjali, pia imeelzea alama ya Masihi dajjali.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 51 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mambo manne muislamu anatakiwa kujikinga nayo kwa Allah akiwa katika tahiyyaatu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 50 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna ya kukaa tahiyyatu na aina za matamshi ya tahiyyaatu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 49 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna ya kukaa kikao baina ya sijida mbili na maneno yanayosemwa katika kikao hicho.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 48 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa Imamu kuchunga haliza za maamuma wake katika swala, pia imezungumzia ubaya wa kuswali haraka bila ya utulivu.