Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Kujifananisha na makafiri -20 - (Kiswahili)
Kuapia asiyekuwa Menyezi Mungu -17 - (Kiswahili)
Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 16 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) ameeleza kuwa tabiya ya mtume ilikuwa Quraan, na ametumwa ili kutimiliza tabiya nzuri, ameongelea njia salama za malezi ya watoto, na njia ya mtume katika kurekebisha makosa.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 15 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia cheo cha tabia nzuri, na aina ya tabiya njema, ameeleza kuwa mtume alisifiwa kwa tabia njema.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 14 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia kuwa misiba inayo wapata wanadamu nisababu ya kupandishwa daraja na kusamehewa madhambi yake, kisha amezungumzia neema ya Afya.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 13 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia hukumu za Kafara na aina zake na badhi ya ibada ambazo zinafuta madhambi.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 12 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia njia za kufanya istighfar na ametaja dua ambazo ni bwana wa msamaha, na maana zake, na umuhimu wa kuhifadhi dua hii, na faida za istighfar.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 11 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amebainisha maana ya Istighfar na faida zake, na tofauti ya tawba na istighfar,
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 10 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia jinsi ya kurejesha haki katika tawba, na mambo ambayo hayafai katika tawba, na ameeleza mambo yanayo tenguwa tawba.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 09 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amebainisha yanayo muokowa na Adhabu za moto, na ameeleza dhambi ambazo hazisameheki, kaiha amebainisha aina za tawba, na makosa ya watu katika tawba.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 08 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia umuhimu wa tawba na masharti yake, na faida za tawba, na kwamba dawa ya makosa ya mja ni kufanya Tawba.
Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 07 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) ameeleza jinsi Allah anavyo zalisha mema ya mwanadamu, kisha amehusia watu juu ya umuhimu wa kuunganisha watu.