×
Image

Dondoo kuhusu Itikadi ya Kiislamu - (Kiswahili)

Kitabu hiki kinafafanua misingi ya imani inayojumuisha kumuamini Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Mwisho, na mipango ya Mwenyezi Mungu ya heri yake na ya shari yake; na kinaonyesha kanuni za msingi zilizo wajibu kwa Muislamu kuziamini na kuzifanyia kazi, kikisisitiza umuhimu....

Image

FADHILA ZA SIKU KUMI (ZA MWANZO) ZA DHUL-HIJA - (Kiswahili)

nullHuu ni ujumbe mfupi, uliokusanya mambo muhimu anayoyahitaji Muislamu katika fadhila za siku kumi za mwanzo wa Dhul-Hija. Tumezikusanya kwa ajili ya mwenye kutembelea Misikiti Miwili Mitukufu, mwanaume na mwanamke; ili wawe na elimu na utambuzi na mambo ya dini yao, tukitaraji kutoka kwa Mkarimu, Mwingi wa kuneemesha awanufaishe kwa....

Image

HUKUMU ZA AL-HADYU, AL-ADHWAHI NA KUCHINJA - (Kiswahili)

HUKUMU ZA AL-HADYU, AL-ADHWAHI NA KUCHINJA

Image

Miongoni mwa hukumu za Funga (swaumu) - (Kiswahili)

No Description