Mada hizi zinaongelea maswali muhimu katika maisha ya muislam kwa njia ya maandishi.
Je, muislam anachukuwa wapi itikadi yake? - (Kiswahili)
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 164 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kuchinja na sharti za mnyama anaefaa kuchinjwa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 163 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Ibada ya kuchinja siku ya Iddi, pia imeelezea wakati na muda wa kuchinja.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 162 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hekima ya kutoa zakatul Fitri na anae paswa kutoa zakatul fitri.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 161 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Zakatul Fitri, na adabu zake na kiwango chake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 156 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mambo yanayotakiwa kufanywa siku ya Iddi, na mambo yasiyofaa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 154 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu za kunyanyua mikono katika khutba na katika swala, pia imeeleza sehemu zinazo takiwa kunyanyua mikono.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 153 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu za khutba ya ijumaa na mambo yanayo takiwa kufanywa katika khutba ya Ijumaa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 152 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Yanayo takiwa kuchungwa katika khutba ya Ijumaa na taratibu zake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 151 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Adhana mbili za siku ya Ijumaa, pia imezungumzia juu ya idadi ya watu kusali Ijumaa mjini au vijijini.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 149 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kufuata Sunna na taratibu za siku ya Ijumaa, kama vile kupaka manukato, kuoga na kusoma Surat Kahf nk.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 148 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhumu na ubora wa kwenda mapema Msikitini siku ya Ijumaa.