Mada hii inazungumzia: wajibu na masharti ya swala ya ijumaa, kisha akabainisha nyudhuru za kuto fika katika swala ya ijumaa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 147 - (Kiswahili)
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 146 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Swala ya Ijumaa, na kisha imebainisha hukumu ya swala ya ijumaa kwa mgonjwa.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 145 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Madhabu ya asie swali, na kwamba maradhi sio sababu ya kuacha swala ,na kwamba asie swali nikafiri, kisha amebainisha namna ya kuswali mgonjwa swala ikimpita.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 144 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Namna anavyo elekea mgonjwa qibla, na namna anavyo swali akikosa wa kumuelekeza qibla, na niwakati gani mgonjwa aaswali kwa moyo wake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 143 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Aina za maradhi na namna ya kufanya ibada kwa wagonjwa wenye maradhi hayo.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 142 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Muendelezo juu ya mambo yanayo muhusu mgonjwa katika twahara na mengineyo
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 141 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayo muhusu mgonjwa katika twahara na swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 140 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Swala ya mgonjwa na taratibu zake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 139 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Makatazo ya kuswali baina ya nguzo za msikiti, pia imebainisha makatazo ya kumuamsha alie wahi kwenye swafu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 138 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mambo yanayo muhusu Maamuma ndani Swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 137 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa mambo yanayo muhusu Imamu, adabu zake na utaratibu wa kuswalisha.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 136 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa mambo yanayo muhusu Imamu, adabu zake na utaratibu wa kuswalisha.