Mada hii inazungumzia: Kisa cha uzushi aliozushiwa mama Aisha (r.a) na kwamba madhara ya ulimi ni makubwa kulikoupanga, pia imezungumzia hatari na ubaya wa uzushi katika uislamu.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 9 - (Kiswahili)
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 8 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kujifunza na kuiga namna Mtume (s.a.w) alivyoishi na wake zake ili kuzijenga familia katika uislamu wa kweli, pia imezungumzia hatari ya kuvuka mipaka na kuipotosha jamii.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 7 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mke wa Mtume (s.a.w) bi Aisha bint Abubakar (r.a) ambaye alisifika na sifa ya ujuzi (elimu), pia imezungumzia ubora na nafasi ya bi Aisha (r.a) katika uislamu.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 6 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mke wa Mtume (s.a.w) bi Safia bint Huyay (r.a) ambaye ni mwanamke aliyesifika na sifa ya ukweli, pia imezungumzia mafundisho yanayopatika kutoka katika nyumba ya Mtume (s.a.w).
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 4 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mke wa Mtume (s.a.w) Ummu Habiba Ramla bint Abi Sufiyan (r.a), na ukubwa wa imani na msimamo aliokuwa nao, pia imezungumzia sifa walizo kuwa nazo wake wa Mtume (s.a.w).
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 3 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mke wa Mtume (s.a.w) Zainab bint Jahshi (r.a), na sababu za kuolewa kwanza na Zaid bin Haritha (r.a), pia imezungumzia sababu ya Mtume (s.a.w) kumuoa Zainab bint Jahshi.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 2 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Nafasi ya bi Khadija (r.a) katika Uislamu na umuhimu kwa wanawake wa kiislamu kumuiga bi Khadija (r.a), pia imezungumzia ucha Mungu na uadilifu aliokuanao bi Khadija, na athari aliyoacha baada kufa.
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 1 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Wanawake katika nyumba ya Mtume (s.a.w) na imeanza na historia fupi ya bi Khadija (r.a), pia imezungumzia mwanzo wa wahyi (ufunuo) kumshukia Mtume (s.a.w).
Sherhu Umdatul Ahkam 26 - (Kiswahili)
Shekh anazungumzia: ufafanuzi wa hadithi ya sita na yasaba, kuhusu na najsi ya mbwa, kisha amebainisha mbwa anaefaa kufugwa, kisha akabainisha namna ya kusafisha najsi ya mbwa, na akasema kuwa hadithi ya sita na ya saba zinabainisha kuwa mbwa ni najsi.
Sherhu Umdatul Ahkam 25 - (Kiswahili)
Shekh anazungumzia: Ufafanuzi wa hadithi ya sita, amebainisha kauli za wanachuoni kuhusu najsi ya mbwa, kisha akabainisha uwajibu wa kutumia mchanga katika kuosha najsi, kisha akabainisha faida katika hadithi hii: kwamba najsi ya mbwa na nguruwe ni najsi nzito, mbwa akilamba katia chombo kinakuwa najsi.
Sherhu Umdatul Ahkam 24 - (Kiswahili)
Shekh anazungumzia: Ufafanuzi wa hadithi ya tano ameleza faida za hadithi ikiwemo, kujuzu kujitwaharisha katika maji yanayo tembea na inajuzu kukidhi haja katika maji yanayo tembea kwa dharura. Kisha amebainisha hadithi ya sita inayo zungumzia namna ya kuosha chombo kilicho lambwa na mbwa na nguruwe kisha ametaja taratibu za kufuga....
Sherhu Umdatul Ahkam 23 - (Kiswahili)
Shekh anazungumzia: ufafanuzi wa hadithi ya tano na amebainisha upotovu wa rai ya dhwahiriya katika hadithi hii, kisha amebainisha faida za hadithi hii ikiwemo: makatazo ya kukojoa katika maji yalio tuwama, na kwamba Uislam unalinda mazingira, uislam unapiga vita uchafuzi wa mazingira, na usafi nikatika imani.