×
Image

Sherhu Umdatul Ahkam 10 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Jinsi zilivyo kusanywa hadithi, kisha amebainisha namna ya kusherehesha hadithi ikiwemo kusoma hadithi kisha kufafanua maneno ya kiarabu kisha kubainisha faida zilizo patiana katika hadithi.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 09 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: maana ya Bismilahi aliyo iandika mtunzi wa kitabu kabla hajaanza kuzungumzia mlango wa twahara, na sababu ya kuanza na bismilahi kisha akazungumzia umuhimu wa kuanza na bismilahi katika kila jambo.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 08 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: riwaya ya Imamu shafy kwamba asiye tumia hadithi za Mtume (s.a.w) ni sawa na mkristo, kisha ametaja uwajibu wa kuwachukia wanao kanusha maneno ya Mtume (s.a.w) kisha akataja dalili za kiakili zinazo thibitisha kuwepo kwa hadithi za Mtume (s.a.w).

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 07 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Itikadi mbaya za wanao pinga hadithi za Mtume (s.a.w) na kwamba wanao pinga hadithi za mtume (s.a.w) ni Mazindiq na ni Mashia, kisha akazungumzia kwa ufupi kuhusu itikadi zao chafu.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 06 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Uchafu wa wenye kupinga hadithi za mtume (s.a.w) kisha amenukuu maneno ya Imamu Suyutwiy ambayo yamebainisha hukumu ya mwenye kukanusha hadithi za Mtume (s.a.w) kuwa ni kafiri.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 05 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: njia za kuifanyia kazi Qur’an kupitia matendo ya Mtume (s.a.w) kisha amebainisha baadhi ya vitabu ambavyo vina warudi wenye kupinga hadithi za Mtume (s.a.w).

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 04 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Umuhimu wa elimu ya hadithi, kisha amebainisha kwamba asiye amini kuwa hadithi ni hoja basi atakuwa adui wa uislam, kisha amebainisha maana ya kumtii mtume (s.a.w)

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 03 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Wadhfa wa Hadithi za Mtume (s.a.w) na kwamba zinaweka wazi na kufafanua namna ya utekelezaji wa amri za Qur’an tukufu, pia amezungumza maneno ya Imamu Suyutwi kuhusu cheo cha hadithi za mtume(s.a.w).

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 02 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Utangulizi wa mtunzi pia amezungumzia Umuhimu wa elim ya hadithi, na maana ya hadithi, na cheo cha Quraan na Sunnah pia amewarudi wenye kuzipinga Hadithi.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 01 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Historia fupi ya mwandishi wa kitabu hiki cha umdatul ahkami, Shekh Abdul Ghany Al Maqisy Allah amrehemu, na umuhim wa kuifanyia kazi elim.

Image

Utamu wa ndoa 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sababu za mwanamke kuwa na kiburi katika nyumba, pia imezungumzia hatari kwa mwanamke mwenyekutaka kuwa juu ya mumewe ndani ya ndoa.

Image

Utamu wa ndoa 13 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa mwanamke kutulia nyumbani kwake na kujiepusha na marafiki waovu, pia imezungumzia hatari ya maasi.