Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa mambo yanayo muhusu Imamu, adabu zake na utaratibu wa kuswalisha.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 135 - (Kiswahili)
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 134 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Mambo yanayo muhusu Imamu, Sifa anazotakiwa kujipamba nazo na adabu zake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 133 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya kumfuata Imamu aliyekosea ndani swala na yanayo paswa kufanya.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 132 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hali ya Imamu na Maamuma ndani ya Swala na utaratibu wake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 131 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Tahadhari kwa Maamuma juu ya swala la kutofautiana na Imamu katika swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 130 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Wajuzi na wenye elimu ndio wanao takiwa kusimama nyuma ya Imamu, ili kumkosoa Imamu pindi anapo kosea.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 129 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Maneno anayosema Imamu wakati wa kunyoosha swafu za Maamuma wake, na hukumu ya mwenye kuswali peke yake nyuma ya swafu.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 128 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Muda anaotakiwa kusimama Maamuma wakati inapo qimiwa swala.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 127 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Uimamu kwa Maamuma na namna kuwaswalisha wanaume na wanawake.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 126 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hadhi na na nafasi ya Imamu katika Msikiti.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 125 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Hukumu ya Imamu ambae Maamuma wake wanamchukia na hawamtaki.
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 124 - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea: Hukumu ya kuswali swala ya faradhi, pia imezungumzia hatari ya kuichelewesha swala katika wakati wake.