×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 123 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Hukumu ya mwenyeji kuswali nyuma ya msafiri, pamoja na hukumu mbali mbali za Uimamu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 122 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Hukumu ya mwanamke kuwaswalisha wanawake wenzake, pia imezungumzia stara ya mwanamke ndani na nje ya swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 121 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Sifa za Imamu, pia imezungumzia hukumu ya kijana mdogo kuswalisha watu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 120 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Allah ameijaalia ardhi yote kuwa twahara kwa Ummati Muhammad (s.a.w), popote ikupatapo swala unaswali, pia imezungumzia mahala na sehem zilizo katazwa kuswali

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 119 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Umuhimu wa kusafisha nia wakati wa kutoka nyumbani kwenda Msikitini, pia imezungumzia ubora wa kujiepusha na yale yaliyo katazwa.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 118 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Miongoni mwa mambo yanayo ruhusiwa na yanayo katazwa kuyafanya Msikitini, pia imeelezea ubora wa Swala ya mwanamke ni kuswalia nyumbani

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 117 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Ubora na fadhila za Msikiti wa Qubaa, pia imeelezea fadhila thawabu anazopata mwenye kujenga Msikiti.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 116 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Miongoni mwa sababu za mtu kuacha kwenda kuswali Swala ya jamaa ni khofu, maradhi na mvua nk. Pia imeelezea ubora na fadhila za Misikiti, wa kwanza ni Msikiti wa Makkah kisha Msikiti wa Madina.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 115 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Miongoni mwa adabu za kuingia Msikitini kama livyofundisha Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kumfuata Imamu katika hali yoyote uliyomkuta

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 114 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Fadhila za kutembea na kwenda kuswali Swala ya jamaa, pia imezungumzia mambo ya kujipamba nayo wakati wa kwenda Msikitini.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 113 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Ubora wa kuswali katika swafu ya kwanza upande wa kulia wa Imamu, pia imezungumzia umuhimu wa kuitikia Amiin.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 112 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Ubora wa kunyoosha swafu kama Malaika wanavyo nyoosha swafu mbele ya Mola wao, pia imeelezea ubaya wa swafu ya mwisho kwa wanaume.