Mada hii inazunguzia namna ya kujikinga kutokana na shetani na hatari ya kujikikinga kwa asiyekua Allah.
KINGA YA MUISLAM - (Kiswahili)
HUKUMU YA ANAEFUNGA HALI YA KUWA HASWALI - (Kiswahili)
Makala hii inazungumzia: hukumu ya mtu anaefunga ilihali hasali pia amezungumzia hukumu ya asie swali nimuislam au nikafiri, pia akazungumzia hukumu ya mtu anaesahau swala zake.
UBORA WA TAWHIYD - (Kiswahili)
Makala hii inazunguzia: Ubora wa Tawhiyd na kwambaTawhiyd Ni Bora kuliko Mali Na Starehe Za Duniani Na Neno La Tawhiyd nizito katika mizani kuliko mbingu saba na ardhi saba.
HUKUMU ZA TWAHARA - (Kiswahili)
Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kinazungumzia: Hukumu za twahara ikiwemo namna ya kutawadha, na kuoga, na kutayamam, na kupangusa kwenye khofu, na namna ya kujitwaharisha mginjwa, na namna ya kuswali mgonjwa.
KUCHUPA MIPAKA - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia kuchupa mipaka katika Dini.
BID’A YA MAWLIDI - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Bidaa za sherehe za mazazi ya Mtume(s.a.w)
HISTORIA YA KRISMASI NA HUKUMU YA KUSHEREHEKEA - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia mas’ala ya krismasi na uzushi wake
IJUWE ITIKADI YA AHLU SUNNAH WALJAMAA - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia itikadi sahii ya Ahlusunna wa Aljamaa.
ZIARA YA MADINA - (Kiswahili)
Mada hii inafafanua kuhusu ziara ya mji wa Madina,na adabu zake na mambo yasiyo takiwa kwa mwenye kutembelea madian.
NASIHA FUPI KWA WAISLAMU WAPYA - (Kiswahili)
No Description
Kuutembelea Msikiti Ntukufu Wa Mtume Na Baadhi Ya Tanbihi Na Muongozo Kwa Mwenye Kuutembelea - (Kiswahili)
Kuutembelea Msikiti Ntukufu Wa Mtume Na Baadhi Ya Tanbihi Na Muongozo Kwa Mwenye Kuutembelea
TABIA NJEMA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia mwenye tabia njema hupandishwa daraja, na tabia njema ndio lilikua pambo la Mitume, Manabii na watu wema.