×
Image

Sababu Ya Kukufuru Wanadamu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sababu ya kukufuru wanadamu na kuiacha dini ya mwenyezi mungu na kuingia katika ushirikina.

Image

Kulingania Ktk Lailaha Illa Allah - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia ubora wa kulingania ktk njia ya mwenyezi mungu na malipo ya atakae kufa akiwa na lailaha illa allah.

Image

SHIA ITHNA ASHARIA NI WATU GANI - (Kiswahili)

KITABU HIKI NIMIONGON MWA VITABU MUHIMU KATIKA ZAMA HIZI, KINAZUNGUMZIA ITIKADI POTOVU YA USHIA KUPITIA VITABU VYAO VINAVYO TEGEMEWA.

Image

Miongoni Mwa Sifa Za Watu Wema - (Kiswahili)

Mada hi inazungumzia sifa za watu wema na uwaijibu wa waislam kuwafuata watu wema.

Image

Uchawi - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uchawi, hukumu yake na madhara yake na uchafu wa mchawi na adhabu zake.

Image

Swaumu Ya Ashuraa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia ubora wa swaumu ya ashuraa na utukufu wa allah wa kusamehe madhambi katika siku ya ashura.

Image

Hukumu Ya Kuchinja - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia kuchinja na hukumu yake na hukumu ya kuchinja kwaajili ya mizimu na na mashetani ao makaburi.