UKWELI KUHUSU USHIA
Kitabu hiki ni Muhimu sana kwa Waislamu, na hasa watu ambao hawakupata nafasi ya kusoma dini zaidi, nimekiita: UKWELI KUHUSU UKAFIRI WA USHIA, kinalengo la kufichua itikadi za Mashia na upotofu wao na batili zao, na ubatili wa madai yao katika kuwapenda Ahlul Bayti (Watu wa nyumba ya Mtume, rehema na amani ziwe juu yake). Na mimetegemea hasa katika vitabu vya Ahlus Sunna Wal-jamaa'a, kama ambavyo pia, nimetumia marejeo ya vitabu vya Wanachuoni wa Kishia; ili kuthibitisha kile nilichokinukuu, na kusimamisha hoja kutoka ndani ya vitabu vyao

API
